Shule hulia ya Planet inahitaji mwalimu wa kufundisha masomo ya Accountancy na Commerce kwa level ya O-level na A-level.
Plaet inapatikana jijini Mwanza karibu na Nyanza shule ya msingi barabara ya Balewa mtaa wa Nera. Kwa mawasiliano zaidi: 0737-988 897 au e-mail: planetopenschool2@gmail.com.