Kuna watu wanapenda sana sifa kupitia wenzao sasa nasema rasmi hapa wazi kabisa sitakubali kuchomwa sindano ng'o (maana mmesema ni hiari)
Na hata kama mkibadili gia angani (na kufanya ni lazima kwa makundi fulani- ambapo kivyovyote walimu wataingia) basi nitakuwa radhi kuacha kazi nikafanye mambo mengine tu mtaani
Mmezoea kutupeleka peleka sana ila katika hili binafsi sikubali
Kwa ambao nimewaacha hawajanielewa hapo juu ni kwamba viongozi hawa wa wilayani huku muda mwingine wanatutesa sana na wanapaa sana majina kupitia migongo yetu watumishi
Tunachangishwa elfu tano tano za mwenge kila mwaka tena kimikwara kwelikweli... ila chaajabu mnaambiwa mchango huo ni wa hiari kuonesha uzalendo! Sasa uzalendo gani wa kulazimishwa sijui (Yale yale ya kodi ya uzalendo)
Mnapotekeleza kwa wingi jambo husika basi sifa kwa halmashauri na DC eti basi!
Ticha nakuunga mkono lakini kabla ya yote nenda kadidibue mkopo wako nmb ili upate mtaji kabisa!Kuna watu wanapenda sana sifa kupitia wenzao sasa nasema rasmi hapa wazi kabisa sitakubali kuchomwa sindano ng'o (maana mmesema ni hiari)
Na hata kama mkibadili gia angani (na kufanya ni lazima kwa makundi fulani- ambapo kivyovyote walimu wataingia) basi nitakuwa radhi kuacha kazi nikafanye mambo mengine tu mtaani
Mmezoea kutupeleka peleka sana ila katika hili binafsi sikubali
Kwa ambao nimewaacha hawajanielewa hapo juu ni kwamba viongozi hawa wa wilayani huku muda mwingine wanatutesa sana na wanapaa sana majina kupitia migongo yetu watumishi
Tunachangishwa elfu tano tano za mwenge kila mwaka tena kimikwara kwelikweli... ila chaajabu mnaambiwa mchango huo ni wa hiari kuonesha uzalendo! Sasa uzalendo gani wa kulazimishwa sijui (Yale yale ya kodi ya uzalendo)
Mnapotekeleza kwa wingi jambo husika basi sifa kwa halmashauri na DC eti basi!
ongeza na za sulua na ndulu?Chanjo huchanjwi je vidonge vya HIV/AIDS ?
VP dawa za TB ?
vp chanjo za watoto wachanga...?
Nakuunga mkono ndugu yangu, fanya lile ambalo moyo wako itakua na amani nalo.
Vyovyote vile watakavyosema lakini hizi chanjo hizi zaidi ya mwenyezi Mungu kutusaidia hakika usalama wake Ni mdogo mno haswa kwa kizazi kitakachokutwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
MLIOCHANJWA MNA HAMU NA WENGINE WACHANJWE MPAKA MMEKUA KAMA WAHAMASISHAJI yaani hamjiamini amini mnataka na wengine wapigwe sindano ndo mjisikie ''afadhali tuko wengi'' 😅😅😅Hata kabla ya mimi, mme wangu na wanangu wote walipata chanjo mwezi wa pili, wazima na wanadunda. Mimi nilichelewa mpaka mwendazake alipoondoka ndo mama akaruhusu mashirika ya nje kuleta huduma, hivyo na mimi nimepata kupitia UN. Subiri mrejesho nitakupa.
Nakuunga mkono nipo tayari kuacha kazi na hata kufa kuliko kuuza nafsi yangu, nitaawaachia maiti wakitaka kunisumbuaKuna watu wanapenda sana sifa kupitia wenzao sasa nasema rasmi hapa wazi kabisa sitakubali kuchomwa sindano ng'o (maana mmesema ni hiari)
Na hata kama mkibadili gia angani (na kufanya ni lazima kwa makundi fulani- ambapo kivyovyote walimu wataingia) basi nitakuwa radhi kuacha kazi nikafanye mambo mengine tu mtaani
Mmezoea kutupeleka peleka sana ila katika hili binafsi sikubali
Kwa ambao nimewaacha hawajanielewa hapo juu ni kwamba viongozi hawa wa wilayani huku muda mwingine wanatutesa sana na wanapaa sana majina kupitia migongo yetu watumishi
Tunachangishwa elfu tano tano za mwenge kila mwaka tena kimikwara kwelikweli... ila chaajabu mnaambiwa mchango huo ni wa hiari kuonesha uzalendo! Sasa uzalendo gani wa kulazimishwa sijui (Yale yale ya kodi ya uzalendo)
Mnapotekeleza kwa wingi jambo husika basi sifa kwa halmashauri na DC eti basi!
Ila cha ajabu sana ni kwamba waalimu mara nyingi ndo mnasimamia uchaguziKuna watu wanapenda sana sifa kupitia wenzao sasa nasema rasmi hapa wazi kabisa sitakubali kuchomwa sindano ng'o (maana mmesema ni hiari)
Na hata kama mkibadili gia angani (na kufanya ni lazima kwa makundi fulani- ambapo kivyovyote walimu wataingia) basi nitakuwa radhi kuacha kazi nikafanye mambo mengine tu mtaani
Mmezoea kutupeleka peleka sana ila katika hili binafsi sikubali
Kwa ambao nimewaacha hawajanielewa hapo juu ni kwamba viongozi hawa wa wilayani huku muda mwingine wanatutesa sana na wanapaa sana majina kupitia migongo yetu watumishi
Tunachangishwa elfu tano tano za mwenge kila mwaka tena kimikwara kwelikweli... ila chaajabu mnaambiwa mchango huo ni wa hiari kuonesha uzalendo! Sasa uzalendo gani wa kulazimishwa sijui (Yale yale ya kodi ya uzalendo)
Mnapotekeleza kwa wingi jambo husika basi sifa kwa halmashauri na DC eti basi!
Sijakuelewa, kuna mtu anahasisha au kulazimisha? Mimi ni famila ya UN hivyo nimekwenda kuchanjwa kwa ihali na kukubali masharti You have to sign a pact kwamba hujalazimishwa na kama ukipata reaction ni liability yako. hivyo usikonde litakalotupata ni juu yetu. Kati ya ndugu waliopewa chanjo ni mmoja amekuja kuwa positive after a week na yeye hakujitambua sababu hana dalili ila vyombo vilimtambua.MLIOCHANJWA MNA HAMU NA WENGINE WACHANJWE MPAKA MMEKUA KAMA WAHAMASISHAJI yaani hamjiamini amini mnataka na wengine wapigwe sindano ndo mjisikie ''afadhali tuko wengi'' 😅😅😅
very insecure
Haya kampate j&jHawatakulazimisha....
Kapuku Mimi ninaisubiri chanjo kwa hamu kubwa....
Ikifika zamu yetu wa hali ya chini ,nitakuwa wa MWANZOMWANZO kuchomwa in shaa Allah!
#SayansiSiSiasa
#NchiKwanza
#KaziIendelee
Ndio ndio huyo j&j ANANIHUSU KABISAAAA....ninasubiri tu ifike zamu yetu....Haya kampate j&j
Ifike mara ngapi ishafika kesho damka tu kadungweNdio ndio huyo j&j ANANIHUSU KABISAAAA....ninasubiri tu ifike zamu yetu....