Siyo kweli; mama Tabitha alipandishwa kutokana na ujasiri wa kumshitaki Chediel Mgonja aliyekuwa Waziri wa Elimu wakati huo ila akawa anafanya umalaya na wanafunzi wa kike, mmoja wa wanafunzi waliokuwa wakifanya ufuska na Mgonja alikuwa mwanafunzi wa Korogwe Girls ambako Tabitha alikuwa Headmistress. Hivyo Tabitha akamfuata Mwalimu pale Magogoni akiwa na makbarasha ya ushahidi dhidi ya Mgonja ka kumpa makavu makavu Nyerere kuhusu waziri wake huyo; huku akimtaka akome kuvurugia wanafunzi wake. Ndipo Mwalimu alifurahia ujasiri wa mama yule, akamfuta Mgonja Uwaziri wa Elimu mara moja na kumpa nafasi hiyo mama Tabitha.
Mmmh..!!! I have a million reasons to doubt about your upstairs.
Kwanini ulikataa kuchapwa viboko na kukubali adhabu nyingine?Ndiyo Mwambungu alinifukuza,nilikataa kupigwa viboko. Halafu,nilipokuwa ofisini kwa Butiku,Butiku akaongea na Kamishna wa Elimu wizarani,wakapatana nirudi shule nipewe adhabu nyingine. Nilishangaa sana,I was absolutely amazed., kwamba wale watu walikuwa wana uwezo pale pale kuniahidi kwamba sitachapwa viboko. Mimi nilidhani kwamba Headmaster ni Mungu.For the first time nikaelewa kwamba kuna hierrachy katika Serikali.
Kwanini ulikataa kuchapwa viboko na kukubali adhabu nyingine?
Safi sana Mwalimu. Siyo hawa kina Pindi Chana ambao ndoa zimewashinda kisa madaraka.[/QUOTE
Sio busara kuwalaumu wanawake bila kujua ujuha wa wanaume zao; huyo uliyemtaja ni mwanamke ambaye asingeweza kukaa na mume juha!!
Andrew.
Mind.
I could have provided a sympathetic ear - not that you need one- had your case needed a just, or even equanimous treatment.
But a lot of peoiple would look at your scantily detiled response, with the best intent, and still garner a perfect case for a divisive, classic, haves against have nots, us against them, brahmis against dalits, age old dichotomy that Mwalimu stood against and mwalimu in the particular sense of the thread stood against, mind the case invokatin, Mwalimu against mwalimu.
Surely you can make a better case devoid of that simplified old age dichotomy characterization.
Where is that case?
Sawa kabisa ebaeban! Tabitha alipewa uwaziri kwa sababu ya ujasuri wake. Si unajua yule ni Mnyakyusa?
Ila alikija kukosana na Nyerere baada Tabitha kuanza kumdharau mumewe. Kwa vile tu alikuwa waziri!
hata mimi hiyo ndio story ninayoijua kuhusu mama siwale.
Mama Thabita sio Mnyakyusa ni Mnyia.
Tabitha ni Mnyakyusa pure. Jina lake la ukoo ni Mwambenja. Aliolewa na Mnyiha/Mnyamwanga aitwaye Siwale.
Kilichompandisha mama Thabiti cheo ni uamuzi wake wa kupambana na ubazazi wa waziri mmoja wa elimu wakati mama Thabitha Siwale ni mkuu wa shule ya sekondari huko Tanga. Inshort jamaa alitaka apelekewe mwanafunzi wa kulala nae. Mama Thabita kampeleka mtoto wa huyo waziri bazazi. Waziri alikasirika sana. Sasa kipindi kile system inafanya kazi. Hizo taarifa zikamfikia Nyerere ndoo kisa cha kumpandisha cheo.