Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 17,580
- 28,549
Kukumbushia tu, Mama Tabitha Siwale alipomuwekea ngumu Mwalimu Nyerere.
Usome shairi la " usione ukazani"Ni kweli kabisa anamdharau sana mumewe. Huyu anasali kwa mwingira na anatoa sadaka ya mamilioni huku mumewe akiwa anakaa tu nyumbani hana hata senti tano. kwa kifupi ni mama mwenye roho mbaya sana hastaili kusifiwa hata kidogo. Yaani mzee siwale anaishi kama msukule wakati mkewe anaishi kama milionea.