tenanzinyo
Member
- Dec 28, 2012
- 64
- 23
Sawa kabisa ebaeban! Tabitha alipewa uwaziri kwa sababu ya ujasuri wake. Si unajua yule ni Mnyakyusa?
Ila alikija kukosana na Nyerere baada Tabitha kuanza kumdharau mumewe. Kwa vile tu alikuwa waziri!
Wapi Andrew Nyerere atupe version yake?
Hii habari sijaisikia. Hili jambo naona ni distraction.Huyu Thabita Siwale sikuifuatilia sana career yake. I was too youmg at that time to be preoccupied with politics. Halafu hakuna mtoto wa Mwalimu ambaye amesoma Tabora.
Maoni yangu ni kwamba walimu wanaowabughudhi watoto wa viongozi,I hate them with perfect hatred. Hao watoto wa Wabunge,watoto wa Katibu Kata,mimi kaka yao. Tabia ya kuwaita vibaka,walevi,teja,na kuwafanyia fujo,ikomeshwe mara moja. I ask that they should be left in peace.
Mie nilisikia huyo mtoto alikuwa anasoma Korogwe Girls na Mama Siwale alikuwa mkuu pale wakati huoHii habari sijaisikia. Hili jambo naona ni distraction.Huyu Thabita Siwale sikuifuatilia sana career yake. I was too youmg at that time to be preoccupied with politics. Halafu hakuna mtoto wa Mwalimu ambaye amesoma Tabora.
Maoni yangu ni kwamba walimu wanaowabughudhi watoto wa viongozi,I hate them with perfect hatred. Hao watoto wa Wabunge,watoto wa Katibu Kata,mimi kaka yao. Tabia ya kuwaita vibaka,walevi,teja,na kuwafanyia fujo,ikomeshwe mara moja. I ask that they should be left in peace.
To enjoy their parents pensions!.. I ask that they should be left in peace.
Juzi juzi, wakati wa uzinduzi wa bodi ya udhamini ya kuwaenzi waasisi wa taifa, Mwalimu na Karume, nilipata fursa ya kuongea na binti Nyerere kwa jina la Rose, alisema Mwalimu was a very loving father, ndiye aliyemfudisha Rose kupika chai!, japo alikuwa hatembezi bakora kwa watoto wa kike, ila kwenzi zilitembea kwa makosa ya kijinga jinga!.Okay yote kwa yote hapa tunachojifunza ni namna mwalimu alivyokuwa mweledi na mtu asiyependelea upande wake hata awe mke au mtoto.