Mwalimu Nyerere na ukabila

Kwenye Public alisema hivyo akienda kwenye party caucus anageuza, wanasiasa ni viumbe hatari.nyerere includive
 
kwa nin Nyerere hakupenda Wahaya?
Nadhani kwa sababu ya Critics na egoism, hakuamini kuna viumbe Wana akili kumzidi,

lakini wakati kamefaulu st francis kakaenda pale makerere kaliwakuta wahaya tayari ni ma senior lecturer,

Kalipoenda edinburgh univ. akina kahama na Rwizandekwe ndo walikapa orientation. Walikuwa wanakalipia mpaka stripend

Sasa nature ya waafrica anawezaje kupenda kabila lililomzidi wakati umepata nguvu za utawala
 
Hizo sifa hamna usidanganye watu hapa.
 
Kosa kubwa alifanya sababu ya inferiority complex na huenda ndo kinacho iathiri njiii hii mpaka leo. Eti unawazuia kabila fulani wasiendelee Ili kuinunua vikabila vidogo
Wrong approach
Imepelekea nchi iko mikono mwa watu wenye uwezo mdogo Sana wajinga na wapumbavu. Wenye akili, maoni na weledi wametupwa nje
 
Hii kitu bila ushahidi itabaki kuwa ilikuwa ni propaganda tu, hata hivyo this 2022 nadhani uwiano wa kielimu si ule wa early to mid sixties.
 
Lakini kalikuwa very clever kalimtumia kawawa kufanya damage kubwa ,kama ambayo magufuli aliwatumia makonda na sabaya
 
Sifa zipi hawana? Wahaya hurka yao ni elimu neno nshomile alikuja hivi hivi, kagera familia isiyo na msomi/wasomi si chochote. Wakati makabila mengine wanawekeza kwenye ufugaji,kilimo na biashara, wahaya uwekezaji wao ni kwenye elimu, kwa ,muhaya elimu ndiyo kila kitu, kama huna elimu au familia haina wasomi, uiona maskini, wanaamini elimu ni utajiri usio kuwa na kikomo, unaoweza kukufikisha popote. Uhayani kukutana na mtu asiye jua kusoma au kuandika ni nadra sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…