FUNGUAMDOMO
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 34,408
- 52,238
Mwanzoni nilikua nashangaa kwanini baadhi ya watu humu hushangilia misiba au matatizo ya maccm au kundi flani la watu, nikaja gundua kuwa uonevu huzaa chuki na visasi kwenye mioyo ya watu. Unamcheka anayepigwa na polisi leo, kesho usitegemee akaja kulia kwenye msiba wako.Lisu na mateka wake sijui wanatumia akili gani.
Hiyo hoja watoto wa darasa la pili wanatosha kuwaelimisha. Sikiliza mahitaji ya wananchi wanataka nini.
Watu wanataka maji, matibabu bora, barabara, umeme wa uhakika na nafuu, masoko ya mazao(yanachagizwa na uwepo wa Bandari na ndege kufikia masoko ya kimataifa na barabara bora masoko ya ndani na nchi jirani), gharama nafuu ya maisha ( yanachagizwa na gharama nafuu ya usafirishaji wa SGR) .
Kasumba za demokrasia(zinazopigiwa chapuo na viongozi wa vyama vilivyokosa demokrasia na vyenye viongozi wafalme, mwenyekiti miaka 20, mwingine eti ni kiongozi mkuu wa chama) ni kelele za wanasiasa wasaka tonge
FUNZO: Ukiwa mnufaika (beneficiary) wa mfumo wowote ule usitumie vibaya hiyo privilege kuwatukana/gandamiza/dharau/piga/onea wengine, Hakuna hali inayodumu milele. You are the next victim, bitch.
Sent using Jamii Forums mobile app