mzenjiboy
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 907
- 387
"Watanzania wanataka mabadiliko, wasipoyaona, wasipoyapata ndani ya CCM, watayatafuta nje ya CCM".
Wakati ndio huu kutafuta manadiliko nje ya CCM kwa sababu imeshindwa kuwasilisha vile walivyoahidi wananchi.
Zanzibar tuko ngangari kwa masuali ya kudai Zanzibar yetu. Watanganyika ni WAOGA hamuthubutu kuukataa muungano, Watanganyika ni WAOGA kudai Tanganyika yenu. Nyote mumeufyata baada ya Kikwete kukunyamazisheni pale Dodoma. Mumebaki kuandika kwenye mitandao tu bila ya hata sauti zenu kutoka. Chukueni somo kwa Wazanzibari msiokwisha kuwanughudhi kila siku.
Sisi tunasema Zanzibar Kwanza ama Watanzania mutajijua wenyewe.