Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 22,454
- 32,980
MWALIMU NYERERE ALIPEWA UONGOZI WA TANGANYIKA UKUMBI WA ARNAUTOGLO APRIL 1953
Ukumbi wa Arnautoglo na Team ya Heritage Center for Liberation pamoja na TBC tunarekodi historia ya Uchaguzi wa Rais wa TAA kati ya Abdulwahid Sykes na Julius Nyerere 1953.
Kiasi cha miaka miwili iliyopita.
Picha ya kwanza.
Picha ya pili ni sasa niko Maktaba nahojiwa kuhusu historia ya marehemu Sheikh Kassim Juma.
View: https://youtu.be/O7-fJetU6fI?si=ulnUVLr3yxvDVPrs