Mwalimu ngazi ya cheti natamani kubadili fani

Td mkali

Senior Member
Jan 18, 2019
103
104
Niende moja moja mimi natamani kujiendeleza lakini sio katika fani ya ualimu tena naomba mnishauri nisomee fani gani nzuri kwa matokeo haya iv 27 miaka ile history c, math f, civic d, geography d, kiswahili d, english d, biology d, chemistry d nawasilisha

Nb;ni mwajiriwa serikalini matusi sio mazuri
 
Karisiti kwanza
 
Matokeo sio kigezo pekee cha kufanya selection ya career.

Zingatia yafuatayo
1... interest
2... uwezo wako kiuchumi na IQ
3... Soko - mahitaji duniani
4... physical strength
5... Applicability ya desire yako kwa misingi ya kazi yako.
6... nk
 
Sawa napenda chochote tu ila sio ualimu
 
  • Thanks
Reactions: _ID
Wengi tunapenda Kusoma mambo mazuri ambayo ni gharama! Changamoto za kiuchumi zanatulazimisha Kusoma kozi za kinyonge. Kwa fursa ya kifedha uliyoipata usifanye makosa jiridhishe nini unataka ndipo uamue.
 
Kwakweli lakini kwa sasa naweza kujisomesha hakuna shida napenda kuhama fani
 
Back
Top Bottom