Mwalimu nenda taratibu huko shuleni...

Mwalimu nenda taratibu huko shuleni...

naona response ya mwaka jana na mwaka huu ni tofauti sana
 
Inaelekea yamekukuta na ni tabia yako hvyo unaona hawa wapya watakumalizia vident.
 
Mnakauli zenu "walimu mnafundishi mwili na akili"
Na kingine wale watoto usikubar wawe wanakuchukiza au kila jambo likupe machukizo utapata tatizo.la moyo uwe mtu wa kuchukulia powa sana
 
Nilisepa mapeeeeeema, maana niliona kigezo cha wito sina.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom