Ni siku nyingi sijakuwepo ktk safu hii, hivyo sijuwi hii kama ilishawekwa au laa.
Mwalimu kauliza darasani: "kwanini tunasema mapenzi ni bora kuliko vita?"
Mwanafunzi mmoja akanyanyuka na kujibu: "sababu condom ni bei rahisi kuliko bunduki"
Jamani kwani kuna siri? Si hata ktk radio tunasikia kuwa paketi ya Dume ni T shs 300/- (kama sijakosea) na ile bunduki ya toys kama huna buku 5 utaishia kupata ile iliyo mbaya