Mwalimu na mazingira ya kazi ya ualimu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwalimu na mazingira ya kazi ya ualimu

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mzururaji, Apr 15, 2012.

 1. Mzururaji

  Mzururaji JF-Expert Member

  #1
  Apr 15, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,236
  Likes Received: 597
  Trophy Points: 280
  Walimu katika shule ya sekondar kahunga wilayan kasulu mkoan kigoma wamepata choo kipya cha kudum baada ya kutumia choo cha nyasi ful sut juu chin nyasi kwa muda wa miaka 6. shule hiyo ambayo ina walimu wanne tu wa kuajiliwa na serikal hali ilikua mbaya muda wa kwenda choon kipindi cha mapumziko iliwabid walimu wasubiri watoto warud madarasan ndio waingie choon.
   
 2. The Magnificent

  The Magnificent JF-Expert Member

  #2
  Apr 15, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 2,669
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160

  hah hah hah hhahn hhha sijapenda kucheka kwa tukio hilo mkuu,nimecheka jinsi ulivyo present mada yako!!!
   
 3. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #3
  Apr 15, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,963
  Likes Received: 1,851
  Trophy Points: 280
  jamani mazingira ya walim ya kufanyia kazi ni magumu sana,hilo ni dogo sana kuna sehem mwl ni mmoja na darasa ni moja ila wanafunzi wapo darasa 1-7 jiulize wanasomea wapi.
   
 4. mzamifu

  mzamifu JF-Expert Member

  #4
  Apr 15, 2012
  Joined: Mar 10, 2010
  Messages: 3,496
  Likes Received: 854
  Trophy Points: 280
  kukosa choo ni moja bado misahara midogo, dharau, kubezwa n.k lakini bado walimu ni lazima wawepo. ingawa madhila ni kibao bado nchi ina watu walioelimika kutokana na kuwepo kwa walimuk
   
 5. Mshuza2

  Mshuza2 JF-Expert Member

  #5
  Apr 15, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 4,111
  Likes Received: 1,735
  Trophy Points: 280
  Wewe ni mwalimu?
   
 6. kivyako

  kivyako JF-Expert Member

  #6
  Apr 15, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 8,836
  Likes Received: 4,202
  Trophy Points: 280
  Walimu walishayatambua matatizo yote yanayowakabili na jinsi serikali isivyowajali ndo maana wako kwenye mgomo wa mda mrefu na wa kimyakimya, ushahidi ni matokeo ya mitihan na maisha ktk govt schools.
   
 7. s

  sugi JF-Expert Member

  #7
  Apr 15, 2012
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,367
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 160
  wafundishe tu,kwani wameeenda kufundisha watoto au k****nya?
   
 8. Mzururaji

  Mzururaji JF-Expert Member

  #8
  Apr 15, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,236
  Likes Received: 597
  Trophy Points: 280
  hapana mshuza leta mchango vp una maana gan
   
Loading...