Mwalimu mzuri yupi?

Mwalimu mzuri yupi?

kakamera

Member
Joined
Oct 30, 2016
Posts
29
Reaction score
7
Nauliza wadau Mwalimu mzuri anayependwa na wanafunzi darasani ni yupi kati hawa wawili
1:ANAYETOA NOTISI KICHWANI NA KUANDIKA UBAONI?
2:ANAYETOA NOTISI DAFTARINI NA KUANDIKA UBAONI?
 
Wote wabaya. Mzuri ni yule anayeandika point tu kisha anaieleza kiasi cha wanafunzi kuishika vizuri kichwani.
Nauliza kwa sababu nimeshuhudia watu wanamsifu mwalimu anayemwaga NOTISI UBAONI hasomi mahali popote
 
Huyo ticha atawajaza ujinga siku moja hao wa ndiyo. Si kwa kukariri huko. Au ni uzoefu wake tu.
 
Mwalimu mzuri ni yule anayeeleweka kwa wanafunzi haijarishi njia anayoitumia point ya msingi wanafunzi waelewe
Kweli kabisa mkuu

NB. Wanafunz Wengi wanaamini anayetoa kichwan bila kuangalia mahali popote ndo yuko vizuri kuliko anayeangalia kwenye kitabu au daftar

Yaani shida sana
 
mwl mzuri ni yule anaetoa notsi daftarini na kuandika ubaoni

ni muhimu mwl kufanya maandalizi kama hajafundisha yaan maandalizi ya somo ambayo yatamuongoza kutoa kitu alichokipanga kukifundisha
 
Msikariri walimu sio lazma uandike notsi kwny daftar halaf ukaandke ubaon sku mojamoja tema cheche tu za matangazo mubashara yan ktu laivu kutoka kwny mdomo. Wanafunz wataelew tu nn tcha amejiandaa ktk somo la leo
 
Back
Top Bottom