Mwalimu mzoefu anapatikana...

Mr Yes

Senior Member
Joined
Jan 31, 2013
Posts
153
Reaction score
29
Kitaaluma sijasomea ualimu,nimesome biashara na utawala kutoka chuo kikuu cha Dar es Salaam.Nimefundisha kwa muda mrefu sana toka nilipomaliza form six mpaka mwaka huu mwezi wa kwanza.Nina uwezo mkubwa wa kufundisha masomo ya history (both 1 & 2),Geography only one ,and Economics zaidi micro Economics ingwa hata macro economics nimefundisha pia.

Kama kuna shule au chuo kinahitaji mwalimu kwa masom hayo hapo juu hasahasa Economics ninapatikana kwa kazi hiyo na hutajuta kupata huduma yangu kwani ninaimudu vizuri sana.

Natanguliza shukrani.kama unahitaji huduma uangulease ni PM
 
Weka namba yako hata kwa ambao sio member hum wakipta pita wakutafte sio kila mtu ataweza kuku Pm mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…