Mwalimu mwingine huyu hapa njooni muone

Mwalimu mwingine huyu hapa njooni muone

Hivi huwa kuna mtumishi iwe Serikalini au Sekta binafsi asiye na madeni kweli?

Wengi hizo mikopo ndo zinakuwa msaada kwa baadhi ya mambo ambayo yanahitaji hela ndefu.
😂😂 watu wana mikopo ya kila rangi..

Wapo wa salary advance
Wapo wa mikopo ya mabank na saccoss za ofisi
Wapo wenye madeni ya imprest account.. hapa wa sekta binafsi tuko wengii tu

Sasa anatokea mtu atushangae jamani, kweliii!!!
 
Mtumishi yeyote akikueleza kwamba hakopi ujue anakudanganya kwa heshima.Kwa hiyo utulie tu.
Wasiokopa wapoo.. watu hatulingani majukumu na vipato.

Nina shost mwaka huu mpk Oct hakuwa na deni lolotee,, mpaka mwishoni hapa kaja kubanwa asivyotegemea ndo akachukua salary advance.

Asingebanwa hapo means alikuwa anatoboa mwaka bila madeni.
 
Mtumishi yeyote akikueleza kwamba hakopi ujue anakudanganya kwa heshima.Kwa hiyo utulie tu.
Hakika Mtani. Alifuatilie vizuri hili ndo atakuja kuelewa.

Kuna watu wanafanya kazi Benki lakini Salary Slip zao ukiziona utakimbia.

Japo mpaka sasa sijaelewa shida ya mleta uzi ni Walimu ama hizo take home na madeni yaliyopo kwenye hizo Salary Slip.
 
Wasiokopa wapoo.. watu hatulingani majukumu na vipato.

Nina shost mwaka huu mpk Oct hakuwa na deni lolotee,, mpaka mwishoni hapa kaja kubanwa asivyotegemea ndo akachukua salary advance.

Asingebanwa hapo means alikuwa anatoboa mwaka bila madeni.
Huyo ni wale wenye malengo ya kutafuta kitu kikubwa cha kufanya halafu akienda kukopa benki anatoka na sandarusi la mahela.Kuna kitu anavizia.We tulia utaona.
 
Hakika Mtani. Alifuatilie vizuri hili ndo atakuja kuelewa.

Kuna watu wanafanya kazi Benki lakini Salary Slip zao ukiziona utakimbia.

Japo mpaka sasa sijaelewa shida ya mleta uzi ni Walimu ama hizo take home na madeni yaliyopo kwenye hizo Salary Slip.
Huyu gogoz tutakaa naye kikao leo jioni atueleze kwa nini ana bifu na walimu!Je,alipeleka posa akatoswa?Je,kila akikumbuka usimamiaji uchaguzi anagugumia kwa maumivu?Je,kuna mwalimu alimfanyia hujuma na dhulma?Je,akikumbuka mboko alizopigwa shuleni anawachukia wote hasa walimu wa hisabati?Tupo naye.Atajieleza kwa maandishi.
 
Mkuu you are out of touch...

Unadhani kwanini ikitokea tangazo la ajira la ualimu watu wanajazana yaani nafasi moja watu elfu kumi na zaidi ?

Utaona kwamba hawa waalimu are better off kuliko hao wauza ice cream ubuyu sijui na wafuga kuku..., Hali ni mbaya middle income is dwindling the gap of have and have not is increasing..., kama haujaliona hili nadhani unahitaji kuangalia tena....

At least hao wana security and will have a pension; the only thing huyk jamaa yako ni kutokuishi within his/her means
Basi Sawa
 
Possibility

1. Atakuwa kamaliza madeni
2. Kamshahara kameongezeka
3. Ameshakuza mtaji wake na sasa kaachana na mambo za kukopa

Emu weka salary slip yako tuone, usikute we mwenyewe unanukia madeni hapo.
Kukopa tena anazuiliwa au
 
Huyu gogoz tutakaa naye kikao leo jioni atueleze kwa nini ana bifu na walimu!Je,alipeleka posa akatoswa?Je,kila akikumbuka usimamiaji uchaguzi anagugumia kwa maumivu?Je,kuna mwalimu alimfanyia hujuma na dhulma?Je,akikumbuka mboko alizopigwa shuleni anawachukia wote hasa walimu wa hisabati?Tupo naye.Atajieleza kwa maandishi.
Afadhali na huenda akawaekeza kinaga ubaga. Ili hizi nyuzi zipunguage.
 
Back
Top Bottom