Mwalimu mwingine huyu hapa njooni muone

Mwalimu mwingine huyu hapa njooni muone

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
14,591
Reaction score
31,133
Hii salary slip inamikopo mpaka kwenye matawi ya vikoba. Mimi nadhani niwakati sasa kama serikali iwape masrahi mazuri hawa viumbe. Wanaishi Kwa stress ndio mana tarehe 22 ya kila mwezi ATM huwa hapatoshi hakuna ata pakuweka mguu sio kwamba wanapenda kujazana ila ni ukata wa maisha hana pesa yakuzugia

Jambo jingine mwalimu usione aibu kuuza ice-cream, ubuyu, sambusa, mihogo na kufuga hata kuku wa kienyeji. Usibweteke mpaka iwe mwisho wa mwezi mnatusumbua. Ukiwa creative huwez kusubiri tarehe 22 kwasababu pesa ya faster-faster inakuwepo. Shida hamjiongezi.
images%20(8).jpg
 
Mkuu you are out of touch...

Unadhani kwanini ikitokea tangazo la ajira la ualimu watu wanajazana yaani nafasi moja watu elfu kumi na zaidi ?

Utaona kwamba hawa waalimu are better off kuliko hao wauza ice cream ubuyu sijui na wafuga kuku..., Hali ni mbaya middle income is dwindling the gap of have and have not is increasing..., kama haujaliona hili nadhani unahitaji kuangalia tena....

At least hao wana security and will have a pension; the only thing huyk jamaa yako ni kutokuishi within his/her means
 
Hii salary slip inamikopo mpaka kwenye matawi ya vikoba. Mimi nadhani niwakati sasa kama serikali iwape masrahi mazuri hawa viumbe...
Gogoz,kuna sehemu unakwama sana.Watumishi wapo vibaya sana kiuchumi.Siyo walimu tu.Umeyaona ya walimu kwa sababu yawezekana upo nao karibu hapo mitaani.

Tunawadai kwenye maduka ile mbaya na tunavumiliana kimtindo.Hebu acha kuwachoresha kihivyo.Siyo poa.
 
Hivi huwa kuna mtumishi iwe Serikalini au Sekta binafsi asiye na madeni kweli?

Wengi hizo mikopo ndo zinakuwa msaada kwa baadhi ya mambo ambayo yanahitaji hela ndefu ambapo kwa kudunduriza mshahara pekee hauwezi toboa abadan asilan.
 
Back
Top Bottom