mwalimu mwenye roho mbaya kuliko wote

mwalimu mwenye roho mbaya kuliko wote

chakufia nini

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2015
Posts
692
Reaction score
456
hapa ndo aliua bendi kabisaaaaaaaa

11817091_793488944097518_3630183716557972297_n.jpg
 
Welldone teacher,HAYO NDIO MAMBO TUNAYOYATAKA SIO KM KADA NYINGINE UNAKAMATA MADAWA YA KULEVYA KILO 10 UNAWAONYESHA WAANDISHI WA HABARI KILO 2.!!
 
Welldone teacher,HAYO NDIO MAMBO TUNAYOYATAKA SIO KM KADA NYINGINE UNAKAMATA MADAWA YA KULEVYA KILO 10 UNAWAONYESHA WAANDISHI WA HABARI KILO 2.!!

malighafi huwa haitupwi yote
 
Tukisema usije na simu shule, halafu wee ukaja nayo, itavunjwa tuu. (Kwa sauti ya Pinda)
 
pambaf!..apo kuna kidemu anakifukuzia cha f3.na kwasababu ya wivu hataki katumie simu.ila ili kuua soo anatumia mfumo wa "majority punishment".wote waliomo na wasiokuwepo wanawajibika.
 
Sheria na haki huwa havipendwi na wanaokiuka taratibu/maadili..... Kama sheria inasema hivo basu wacha atende haki kwa mujibu wa Sheria
 
Usishangae miongoni mwa wenye simu ni mtoto mkali wa kike ambae hakutaka upuuzi wa mwalimu wake.
 
Back
Top Bottom