Mwalimu Mwakasege: Hizi ni Nyakati za Mabadiliko makubwa ya Kisiasa, Kielimu na Kiuchumi Duniani hatuwezi kukwepa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
85,844
145,859
Mwalimu Mwakasege amewaasa Watanzania kutumia Hekima Zaidi kwenye kila Jambo Ili kwenda na nyakati za Sasa zenye mabadiliko makubwa

Mwakasege amesema miungu wa Dunia wameshikilia mifumo yote ya Kisiasa, Kielimu na Kiuchumi na Hakuna dalili za kuchomoka bila ya Msaada wa Mungu wa Mbinguni mwenyewe

Mwalimu Mwakasege anaendesha Semina ya Neno la Mungu Wilayani Kahama mkoani Shinyanga

Source: Upendo TV

Mlale Unono 😀😀
 
Sawa tuu hata wakina Nuhu walipitia mabadiliko na mabadiliko yakwepeki,,,Mabadiliko ndio muenendo wa Ulimwengu na Walimwengu,,,Mabadiliko ni Maisha kiujumla na vyote vinavyotuzunguka###TupoTayariKwaMabadiliko###
 
Huu ni wakati sahihi bongo kufuta haraka siasa za kufikirika, siasa za kipumbavu za kijamaa , siasa zenye vinasaba na umaskini , ubepari (investment and innovation) ni mfumo sahihi wenye vinasaba na utajiri na ulioshikana na asili ya mwanadamu (selfishness). Wajamaa wengi ni wazee wa chama wenye asili ya bush na wasiojielewa na sasa wanakufa mmoja baada ya mwingine, bado miaka 40 waishe wote bongo Allahu aalam.

Na pia Huu ni wakati sahihi watoto bongo waanze kusoma vidudu na St kayumba in English as teaching language, otherwise nchi hii itabaki kuwa kisiwa cha mbumbumbu. Dunia inaenda spidi kwa Artificial Intelligence inayotumia English sisi tumo tu na kiswazi chetu my foot.

Watalii wakija bongo kupitia Royal Tour wanakaa siku chache na zote zinaishia mbugani tunapata pesa kidogo hawaji mtaani kukuza bizness wakapanga mahotelini sababu mtaani hatuwezi kuwasemesha , English hatujui.

Sekta binafsi inayoajiri zaidi ya 90 percent ya nguvu kazi inahitaji English speaking society kupata international transfer of capital and tech. Ulaya kumejaa funds za research, NGOs na makampuni zinasubiri proposals nasi English hatujui, haya mazee conservative yaliyochapwa viboko na mkoloni , yanaitana komredi , yanashabikia kiswazi kwakuwa English hayajui kuongea, noma sana. Bora yaishe tu. Tena yamebaki machache!

Ukipanda Airbus KLM pale Amsterdam Schirpol Airport mnajaa kwenye ndege watu kama 400 kama mko sokoni mnaenda kutua Kenya, hapo wazungu wanashuka wote Nairobi kuspend madolari, mnabaki wabongo wachache kwenye ndege mnaenda kushushwa kwenu gizani shamba la bibi kipawa Dar Airport. Diaspora wote wanalijua hili!! Waulizeni!

Huu ni wakati mjadala wa kutumia English as teaching language mashuleni urudishwe tena upya. Wasomi vijana tupaze sauti tuyashinde mazee makomredi yanayopinga, kwa maslahi ya vizazi vijavyo!

Mama yetu ni mzungu akisoma hapa najua ataelewa hoja zangu na nina hakika atamwambia waziri wa elimu weka English mashuleni haraka ili kufungua nchi.

shame on waziri wa elimu, futa shuleni hiyo lugha ya wazee wamejiishia
 
Huu ni wakati sahihi bongo kufuta siasa za kufikirika, za kipumbavu za kijamaa zenye vinasaba na umaskini , ubepari (investment) ni mfumo sahihi wenye vinasaba na utajiri na ulioshikana na asili ya mwanadamu (selfishness). Wajamaa wengi ni wazee wasiojielewa na wanakufa mmoja baada ya mwingine bado miaka 40 waishe bongo Allahu aalam.

Na pia Huu ni wakati sahihi watoto bongo waanze kusoma vidudu na St kayumba in English as teaching language, otherwise nchi hii itabaki kuwa kisiwa cha mbumbumbu
Kisiwa cha mbumbumbu🐼
 
Nabii Sanga: Mtikisiko mkubwa utaikumba CCM 2024&2025, tuiombee.

Sioni dalili ya CCM kutubu!!

Tusubiri.
 
Sawa tuu hata wakina Nuhu walipitia mabadiliko na mabadiliko yakwepeki,,,Mabadiliko ndio muenendo wa Ulimwengu na Walimwengu,,,Mabadiliko ni Maisha kiujumla na vyote vinavyotuzunguka###TupoTayariKwaMabadiliko###
This is bold statement. I like it✔✔✔✔

Honestly, tuko tayari kwa mabadiliko no matter yatakuja kwa njia gani..

Inashangaza kuona kuwa CCM wameshupaza shingo wakikataa kuruhusu smooth transition ya changes hizi..

Tunawaambia tu kuwa, mabadiliko ni lazima yaje na wakiendelea kukomaa, mabadiliko hayo yatawaburuza na kuwazika huko..
 
Huu ni wakati sahihi bongo kufuta siasa za kufikirika, za kipumbavu za kijamaa zenye vinasaba na umaskini , ubepari (investment) ni mfumo sahihi wenye vinasaba na utajiri na ulioshikana na asili ya mwanadamu (selfishness). Wajamaa wengi ni wazee wasiojielewa na wanakufa mmoja baada ya mwingine bado miaka 40 waishe bongo Allahu aalam.

Na pia Huu ni wakati sahihi watoto bongo waanze kusoma vidudu na St kayumba in English as teaching language, otherwise nchi hii itabaki kuwa kisiwa cha mbumbumbu. Dunia inaenda spidi kwa Artificial Intelligence inayotumia English sisi tumo tu na kiswazi chetu my foot.

Watalii wakija bongo wanakaa siku chache na zinaishia mbugani tunapata pesa kidogo hawaji mtaani kukuza bizness wakapanga mahotelini sababu mtaani hatuwezi kuwasemesha , English hatujui.

Sekta binafsi inayoajiri zaidi ya 90 percent ya nguvu kazi inahitaji English speaking society kupata international transfer of capital and tech. Ulaya kumejaa funds zinasubiri proposals nasi English hatujui, haya mazee yanayoshabikia kiswazi noma sana. Bora yaishe tu.

Ukipanda Airbus KLM pale Amsterdam Schirpol Airport mnajaa kwenye ndege watu kama 400 mnaenda kutua Kenya, hapo wazungu wanashuka wote Nairobi mnabaki wabongo wachache mnaenda kushushwa kwenu shamba la bibi Dar Airport. Diaspora wanalijua hili!!

shame on waziri wa elimu, futa shuleni hiyo lugha ya wazee wamejiishia
Kwa kuponda na kuitukana lugha yako ya asili (kiswahili) umechemka vibaya..

Unatukana asili na utamaduni wako na mwisho ukaishia kujitukana mwenyewe huku ukijiona una akili na mwerevu kumbe ni mjinga na mbumbumbu wa mwisho...

Shame on you..!!
 
This is bold statement. I like it✔✔✔✔

Honestly, tuko tayari kwa mabadiliko no matter yatakuja kwa njia gani..

Inashangaza kuona kuwa CCM wameshupaza shingo wakikataa kuruhusu smooth transition ya changes hizi..

Tunawaambia tu kuwa, mabadiliko ni lazima yaje na wakiendelea kukomaa, mabadiliko hayo yatawaburuza na kuwazika huko..
Sijajua Upande wa ACT wazalendo
 
✊✊
 
Kwa kuponda na kuitukana lugha yako ya asili (kiswahili) umechemka vibaya..

Unatukana asili na utamaduni wako na mwisho ukaishia kujitukana mwenyewe huku ukijiona una akili na mwerevu kumbe ni mjinga na mbumbumbu wa mwisho...

Shame on you..!!
Lete faida za kiswazi zaidi ya kuandika barua ya maombi ya kazi ya kuandikisha wapiga kura , tulia, huna hoja!!

Mi sijaponda my mother language kiswahili, nimeponda kiswahili kuendelea kutumika kama lugha ya kufundishia mashuleni maana tunaachwa nyuma na maendeleo ya dunia inayotumia English , wewe itakuwa umesoma St kayumba la Saba B maana hata kuelewa comment huwezi.

Wewe utakuwa mmojawapo ya yale mazee makomredi ya kizamani yanayokwepa kusaidia home work za watoto wetu dot com academy mom I don't like that, sababu English ni janga kwako!!

Nyie conservative , makomredi ndio mnaosababisha umaskini kuota mizizi bongo kwa mawazo mgando, mawazo ya kikoloni,mnataka mpigiwe magoti kila siku, hamtaki mabadiliko sababu mnafaidika na system huku watu wengi bongo ni maskini.

Wewe baki na utamaduni wako my foot , inatosha, sisi tunataka changes and development. Tanzania ni wakati sasa inahitaji English speaking society ili kujinasua kwenye umaskini!

Shame on you too!
 
Huu ni wakati sahihi bongo kufuta siasa za kufikirika, za kipumbavu za kijamaa zenye vinasaba na umaskini , ubepari (investment) ni mfumo sahihi wenye vinasaba na utajiri na ulioshikana na asili ya mwanadamu (selfishness). Wajamaa wengi ni wazee wa chama wenye asili ya bush na wasiojielewa na sasa wanakufa mmoja baada ya mwingine, bado miaka 40 waishe wote bongo Allahu aalam.

Na pia Huu ni wakati sahihi watoto bongo waanze kusoma vidudu na St kayumba in English as teaching language, otherwise nchi hii itabaki kuwa kisiwa cha mbumbumbu. Dunia inaenda spidi kwa Artificial Intelligence inayotumia English sisi tumo tu na kiswazi chetu my foot.

Watalii wakija bongo wanakaa siku chache na zinaishia mbugani tunapata pesa kidogo hawaji mtaani kukuza bizness wakapanga mahotelini sababu mtaani hatuwezi kuwasemesha , English hatujui.

Sekta binafsi inayoajiri zaidi ya 90 percent ya nguvu kazi inahitaji English speaking society kupata international transfer of capital and tech. Ulaya kumejaa funds zinasubiri proposals nasi English hatujui, haya mazee conservative yaliyochapwa viboko na mkoloni , yanaitana komredi , yanashabikia kiswazi kwakuwa English hayajui kuongea, noma sana. Bora yaishe tu. Tena yamebaki machache!

Ukipanda Airbus KLM pale Amsterdam Schirpol Airport mnajaa kwenye ndege watu kama 400 kama mko sokoni mnaenda kutua Kenya, hapo wazungu wanashuka wote Nairobi, mnabaki wabongo wachache mnaenda kushushwa kwenu gizani shamba la bibi kipawa Dar Airport. Diaspora wanalijua hili!! Waulizeni!

shame on waziri wa elimu, futa shuleni hiyo lugha ya wazee wamejiishia
Una hoja ccm wametufelisha pakubwa
 
Hawa viongozi wa dini tuliwajua in true colours wakati wa mwendazake

Viongozi wa dini wa kweli, matapeli na waoga tunawajua

Hata huyu mwakasege ni mlamba viatu vya watawala hana jambo la maana la kutueleza
 
Aliogopa kusema ukweli kwamba "ccm imehodhi mamlaka yote ya kiuchumi, siasa, kijamii, elimu na mengineyo"
Anaposema miungu wa duniani ni mafumbo, aseme kweli yeye ni mchungaji.
 
Back
Top Bottom