Makamee
JF-Expert Member
- Nov 29, 2013
- 2,029
- 1,201
Una mihemko ya kishoga shoga sana we dogo. Waarabu wamekuharibu
Bado hujamaliza tafuta kila post yangu unitukane mpaka uridhike
Una mihemko ya kishoga shoga sana we dogo. Waarabu wamekuharibu
Ni katika shule ya msingi limbende iliyopo halmashauri ya mtwara vijijini mkoa wa mtwara tumempata mwalimu mpya wa daraja la tatu A na tangu alipoti hapa kituo cha kazi hadi leo ametimiza wiki moja hivi, lakini cha kushangaza huyu mwalimu pamoja na ugeni wake katika kazi na hata katika jamii amekua akifanya mambo yake kanakwamba ana muda mrefu hapa, anakunywa pombe ovyo ovyo, anavuta bangi bila kujificha na mbaya zaidi akienda kunywa huchelewa kurudi nyumbani, huwa anarudi usiku wa saa tano hadi saa sita na huwa anatugongea ili tumfungulie na hufanya hivyo, na tumejaribu kuongea nae sisi walimu wenzake ili aache hiyo tabia lakini haonyeshi kubadilika. Naomba ushauri wenu wana jf kuhusu hili tatizo. Huyu mwalimu anatoka mkoa wa mara wilaya ya musoma. Ushauri tafadhari....
Kuvuta kwake bangi na kunywa pombe wewe kinakupunguzia nini? Kwani anakunyang'hanya mke wako .wewe ni mbeya sana acha tabia hiyo ya udomo kaya. Haya ni maisha yake.Ni katika shule ya msingi limbende iliyopo halmashauri ya mtwara vijijini mkoa wa mtwara tumempata mwalimu mpya wa daraja la tatu A na tangu alipoti hapa kituo cha kazi hadi leo ametimiza wiki moja hivi, lakini cha kushangaza huyu mwalimu pamoja na ugeni wake katika kazi na hata katika jamii amekua akifanya mambo yake kanakwamba ana muda mrefu hapa, anakunywa pombe ovyo ovyo, anavuta bangi bila kujificha na mbaya zaidi akienda kunywa huchelewa kurudi nyumbani, huwa anarudi usiku wa saa tano hadi saa sita na huwa anatugongea ili tumfungulie na hufanya hivyo, na tumejaribu kuongea nae sisi walimu wenzake ili aache hiyo tabia lakini haonyeshi kubadilika. Naomba ushauri wenu wana jf kuhusu hili tatizo. Huyu mwalimu anatoka mkoa wa mara wilaya ya musoma. Ushauri tafadhari....