Mwalimu Mkuu anapomtusi Rais kupitia gazeti la Jamhuri, makala yake ya tarehe 25 Feb

Ninaomba kwanza niseme wazi sina nia ya kumchongea Mzee wangu Pascally Mayega kwa Rais wetu mpendwa, wala sina nia ya kuligombanisha gazeti pendwa la Jamhuri na Rais wetu ambaye siku za nyuma aliwai kulisfia Gazeti ili.

ila kupitia gazeti la Jamhuri la tarehe 25,mwezi huu ukurasa wa kumi na tano miwandishi niliyemtaja hapo juu aliandika makala yenye kichwa cha habar NDUGU RAIS,UPANGA UNA MAKALI KUWILI

kupitia makala hiyo aliandika hoja nzito na nzuri uitimishwaji wa makala hiyo haukuwa mzuri na haukumtendea haki Raisi wa Tanzania kwani uliambatana na TUSI zito ambalo limenifanya niandike jambo ili ninanukuuuu tusi ilo

"Hatumshangai Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya kwamba pamoja na kwamba ndiye Raisi mwenye umri mdogo zaidi bado anaonekana ndiye Rais anayeongoza kwa busara zaidi kuliko hata wanao onekana kumzidi umri.Hii yote si kwamba Uhuru hana ushamba urais wala hana ushamba wa Ikulu. Amezaliwa ikulu amekulia Ikulu.

Amekuwa akiyaona madaraka makubwa ya urais aliyokuwa nayo baba yake Rais Jomo Kenyatta shida ni kwetu sisi hatuna historia ya kukulia nyumbani kwa mwenyekiti. Kwetu mpaka tunaingia Ikulu ndiyo tunapata anwani. Ukiingia Ikulu lazima utakuwa mshamba. Wengi huzuzuka baada ya kutambua kuwa wamebbeba mamlaka makubwa ambayo mwanzo hawakuyafahamu"
mwisho wa kunukuuu tusi zito, sina nia au lengo la kumchochea moto ili mzee wetu awekwe korokoloni ila nina nia ya kutaka kuheshimika kwa Uraisi wa Rais wetu hata kama ametokea matopeni tuheshimu Utaasisi wa Urais huo.

Nitoe rai kwa mwariri wa jamhuri ni mhm kuhariri makala za namna hii kwani kwani sisi vijana tunaitaji kujifunza mambo mengi kutoka kwa wazee hawa ila kwa matusi haya tunaomba wabakie nayo vifuani mwao na wafe navyo ila wasivitoe.
kwa hatua zitakazochukuliwa kwa huyu mzee kutoka serikalini baada ya Bandiko ili mimi kulifikisha hapa nipo tayari kubeba lawama. kwa kuamsha walio lala.

Sent using Jamii Forums mobile app

Uchonganishi, kwa nini usilete post zake nzuri pia, tabia ya Paschal Mayala hii aka njaa uache!
 
Kwa maoni hayo na ushauri wa kishamba zaidi wanaotakiwa ikulu ambao wamekulia huko na kuwa wazoefu wa ikulu uraisi Tz ni
1. Makongoro wa JK Nyerere
2. Hussein wa AH Mwinyi
3. Ridhiwani wa JM Kikwete
Wengine nendeni kwenye sanduku la kura kuchofua kidole

Sent using Jamii Forums mobile app
hahahah hahah hahaha nimecheka ila ridhiwani yeye hajakaa ikulu ila niliambiwa alipewaga chumba pale ila alikuwa halali.eti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninaomba kwanza niseme wazi sina nia ya kumchongea Mzee wangu Pascally Mayega kwa Rais wetu mpendwa, wala sina nia ya kuligombanisha gazeti pendwa la Jamhuri na Rais wetu ambaye siku za nyuma aliwai kulisfia Gazeti ili.

ila kupitia gazeti la Jamhuri la tarehe 25,mwezi huu ukurasa wa kumi na tano miwandishi niliyemtaja hapo juu aliandika makala yenye kichwa cha habar NDUGU RAIS,UPANGA UNA MAKALI KUWILI

kupitia makala hiyo aliandika hoja nzito na nzuri uitimishwaji wa makala hiyo haukuwa mzuri na haukumtendea haki Raisi wa Tanzania kwani uliambatana na TUSI zito ambalo limenifanya niandike jambo ili ninanukuuuu tusi ilo

"Hatumshangai Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya kwamba pamoja na kwamba ndiye Raisi mwenye umri mdogo zaidi bado anaonekana ndiye Rais anayeongoza kwa busara zaidi kuliko hata wanao onekana kumzidi umri.Hii yote si kwamba Uhuru hana ushamba urais wala hana ushamba wa Ikulu. Amezaliwa ikulu amekulia Ikulu.

Amekuwa akiyaona madaraka makubwa ya urais aliyokuwa nayo baba yake Rais Jomo Kenyatta shida ni kwetu sisi hatuna historia ya kukulia nyumbani kwa mwenyekiti. Kwetu mpaka tunaingia Ikulu ndiyo tunapata anwani. Ukiingia Ikulu lazima utakuwa mshamba. Wengi huzuzuka baada ya kutambua kuwa wamebbeba mamlaka makubwa ambayo mwanzo hawakuyafahamu"
mwisho wa kunukuuu tusi zito, sina nia au lengo la kumchochea moto ili mzee wetu awekwe korokoloni ila nina nia ya kutaka kuheshimika kwa Uraisi wa Rais wetu hata kama ametokea matopeni tuheshimu Utaasisi wa Urais huo.

Nitoe rai kwa mwariri wa jamhuri ni mhm kuhariri makala za namna hii kwani kwani sisi vijana tunaitaji kujifunza mambo mengi kutoka kwa wazee hawa ila kwa matusi haya tunaomba wabakie nayo vifuani mwao na wafe navyo ila wasivitoe.
kwa hatua zitakazochukuliwa kwa huyu mzee kutoka serikalini baada ya Bandiko ili mimi kulifikisha hapa nipo tayari kubeba lawama. kwa kuamsha walio lala.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acheni uchochezi nakujifanya kujua kwenu
 
Kama kuelewa kwako kwa kiswahili na kulingana na definition yako ya tusi, unaona maandishi haya ni tusi kwa Rais Magufuli, basi ingekuwa ushauri wangu kwako kuwa kajifunze upya lugha ya kiswahili. Wewe hujui kiswahili. Na wala hujui maana ya kuwa na mawazo au maoni tofauti ya binadam.

Rais Magufuli sio Mungu na wala sio mtume au mtakatifu, yeye ni binadam kama sisi wengine wote. Ana mazuri na mabaya anayo yafanya. Huo ni ubinadam. Mtanzania ana haki ya kujieleza pale anapoona kuwa anakereketwa na jambo, ni kawaida ya binadam yeyote.

Rais Magufuli madaraka yake hayamfanyi yeye kuwa Dikteta wa kuzuia na kupiga marufuku kila kitu. Akifanya hivyo atakuwa anajenga Taifa lenye watu wa aina gani? No usimweke Rais Magufuli kwenye category ya u saint, ni makosa makubwa.

Kimoja naomba ukizingatie, hata huyo Rais wako naye ajifunze kuwaheshimu watendaji wake, hata kama yeye ndiye aliye wateua. Asipende kujisifu hadharani kuwa yeye anawatukana watendaji wake.

Kwa hali hiyo namwuunga mkono mwandishi wa habari kuwa ni kweli Rais Magufuli mda mwingine ana wewesuka na madaraka aliyo kuwa nayo. Kama yeye anafuata nyayo za Mwalim Nyerere, basi aelewe kuwa Mwalim aliwaheshimu sana watendaji wake. Sijawahi kumsikia akijisifu hadharani kuwa amewatukana watendaji wake wa serikali anao shirikiana nao. Huo kwetu Uswahilini tunauita "ushamba" na "ulimbukeni" wa madaraka.

Ni kweli Uhuru Kenyatta ni Rais wa mfano katika Afrika kwa sasa kwa ku associate na watu wa kawaida. Nafikiri amejifunza mengi kutoka kwa baba yake. Ukimlinganisha na Rais Magufuli utaona dhahiri kuwa Rais Magufuli anamajivuno kidogo, japokuwa anawapenda watu, hilo silipingi, lakini ana kiburi kidogo. Rais Magufuli anatakiwa ajifunze udiplomsia kidogo, itamsaidia sana.

Mengine yote anayo yafanya katika utendaji, yuko safi sana. No question about that! Tena mimi binafsi ningemshauri aongeze speed ya kuwaletea watanzania maendeleo. Na kwa wale anaowaona hawaendi kwa speed yake awatumbue mara moja hata kama ni hadharani haijalishi.

Kwa ujumla napenda kumsifu kuwa amejitahidi sana kuwa na watendaji wazuri wa serikali. Karibu mawaziri na manaibu waziri wake wote alio wateua wako safi na mimi binafsi nawapenda sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninaomba kwanza niseme wazi sina nia ya kumchongea Mzee wangu Pascally Mayega kwa Rais wetu mpendwa, wala sina nia ya kuligombanisha gazeti pendwa la Jamhuri na Rais wetu ambaye siku za nyuma aliwai kulisfia Gazeti ili.

ila kupitia gazeti la Jamhuri la tarehe 25,mwezi huu ukurasa wa kumi na tano miwandishi niliyemtaja hapo juu aliandika makala yenye kichwa cha habar NDUGU RAIS,UPANGA UNA MAKALI KUWILI

kupitia makala hiyo aliandika hoja nzito na nzuri uitimishwaji wa makala hiyo haukuwa mzuri na haukumtendea haki Raisi wa Tanzania kwani uliambatana na TUSI zito ambalo limenifanya niandike jambo ili ninanukuuuu tusi ilo

"Hatumshangai Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya kwamba pamoja na kwamba ndiye Raisi mwenye umri mdogo zaidi bado anaonekana ndiye Rais anayeongoza kwa busara zaidi kuliko hata wanao onekana kumzidi umri.Hii yote si kwamba Uhuru hana ushamba urais wala hana ushamba wa Ikulu. Amezaliwa ikulu amekulia Ikulu.

Amekuwa akiyaona madaraka makubwa ya urais aliyokuwa nayo baba yake Rais Jomo Kenyatta shida ni kwetu sisi hatuna historia ya kukulia nyumbani kwa mwenyekiti. Kwetu mpaka tunaingia Ikulu ndiyo tunapata anwani. Ukiingia Ikulu lazima utakuwa mshamba. Wengi huzuzuka baada ya kutambua kuwa wamebbeba mamlaka makubwa ambayo mwanzo hawakuyafahamu"
mwisho wa kunukuuu tusi zito, sina nia au lengo la kumchochea moto ili mzee wetu awekwe korokoloni ila nina nia ya kutaka kuheshimika kwa Uraisi wa Rais wetu hata kama ametokea matopeni tuheshimu Utaasisi wa Urais huo.

Nitoe rai kwa mwariri wa jamhuri ni mhm kuhariri makala za namna hii kwani kwani sisi vijana tunaitaji kujifunza mambo mengi kutoka kwa wazee hawa ila kwa matusi haya tunaomba wabakie nayo vifuani mwao na wafe navyo ila wasivitoe.
kwa hatua zitakazochukuliwa kwa huyu mzee kutoka serikalini baada ya Bandiko ili mimi kulifikisha hapa nipo tayari kubeba lawama. kwa kuamsha walio lala.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kati ya mwandishi wa Gazeti la Jamhuri Paschally Mayegga na wewe sifi leo aliyemtukana Rais ni wewe. Kwanza wengine huwa hatusomi magazeti kwa hiyo umetujuza kilichokuwapo gazetini. Pili wengine wanaosoma huwa hawana tafsiri yako.

Kiufupi umempaisha Paschally Mayega
 
Ninaomba kwanza niseme wazi sina nia ya kumchongea Mzee wangu Pascally Mayega kwa Rais wetu mpendwa, wala sina nia ya kuligombanisha gazeti pendwa la Jamhuri na Rais wetu ambaye siku za nyuma aliwai kulisfia Gazeti ili.

ila kupitia gazeti la Jamhuri la tarehe 25,mwezi huu ukurasa wa kumi na tano miwandishi niliyemtaja hapo juu aliandika makala yenye kichwa cha habar NDUGU RAIS,UPANGA UNA MAKALI KUWILI

kupitia makala hiyo aliandika hoja nzito na nzuri uitimishwaji wa makala hiyo haukuwa mzuri na haukumtendea haki Raisi wa Tanzania kwani uliambatana na TUSI zito ambalo limenifanya niandike jambo ili ninanukuuuu tusi ilo

"Hatumshangai Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya kwamba pamoja na kwamba ndiye Raisi mwenye umri mdogo zaidi bado anaonekana ndiye Rais anayeongoza kwa busara zaidi kuliko hata wanao onekana kumzidi umri.Hii yote si kwamba Uhuru hana ushamba urais wala hana ushamba wa Ikulu. Amezaliwa ikulu amekulia Ikulu.

Amekuwa akiyaona madaraka makubwa ya urais aliyokuwa nayo baba yake Rais Jomo Kenyatta shida ni kwetu sisi hatuna historia ya kukulia nyumbani kwa mwenyekiti. Kwetu mpaka tunaingia Ikulu ndiyo tunapata anwani. Ukiingia Ikulu lazima utakuwa mshamba. Wengi huzuzuka baada ya kutambua kuwa wamebbeba mamlaka makubwa ambayo mwanzo hawakuyafahamu"
mwisho wa kunukuuu tusi zito, sina nia au lengo la kumchochea moto ili mzee wetu awekwe korokoloni ila nina nia ya kutaka kuheshimika kwa Uraisi wa Rais wetu hata kama ametokea matopeni tuheshimu Utaasisi wa Urais huo.

Nitoe rai kwa mwariri wa jamhuri ni mhm kuhariri makala za namna hii kwani kwani sisi vijana tunaitaji kujifunza mambo mengi kutoka kwa wazee hawa ila kwa matusi haya tunaomba wabakie nayo vifuani mwao na wafe navyo ila wasivitoe.
kwa hatua zitakazochukuliwa kwa huyu mzee kutoka serikalini baada ya Bandiko ili mimi kulifikisha hapa nipo tayari kubeba lawama. kwa kuamsha walio lala.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani Ikulu hakuna kurugenzi ya mawasiliano

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe una uhakika rais katokea matopeni?

Tokomeza Ujinga jenga utambuzi.
 
Sifi leo:
Umeanika ujinga na upumbavu wako hadharani! Sio kila neno litumikalo kuwasilisha hoja ni tusi! Ingekuwa neno "mshamba na matope" ni tusi, basi wakaazi wa mashambani wangekataa kukaa huko na kupelekea kilimo kudorora hatimaye uhaba wa chakula ungetukumba! Aisha matope yanatumika na wajenzi kutengeneza matofali ya kuchomwa na hata ya bila kuchoka na yanatumika kuandika kuta za nyumba Kama zile za kisarawe na iramba! Kuyaita matope ni tusi huwatendei haki wanaoyatumia!
Jaribu kujipima Kama elimu yako inakutosha au la ili ukarudie shule na usome SoMo la kiswahili kwa makini! Kinyume chake utaendelea kuyaoga matusi humu na kuharibu siku zako Kika uingiapo humu!
Usisahau kuwa sifa hazitafutwi kwa kuwanenea wengine uongo! Utajisikiaje utakapoona uliowashtakia walipuuza shtaka lako na Kisha ukakutana ana kwa ana na uliyemshtaki? Be rational always!
 
Kumbe wewe ngosha, m'wangaruka!! Kwa nini Rais Magu anatetewa sana,hamtaki aguswe/asemwe kidogo. Weka namba ya simu,teuzi zinakuja
 
Back
Top Bottom