Mwalimu mbaroni kwa 'kuoa' Mwanafunzi

Huyu mwalimu anataka kwenda jela huku akiacha mshahara mnono utakaoliopwa na Lissu, tena mara nne kwa wiki,dah
 
Tusimlaumu sana mwalimu bila kuona picha ya mwanafunzi na labda kenyewe ndo kalianza kutaka free lunch baada ya kuchoka kula mihogo kwa bibi..
 
Binafsi huwa naamini sana kwenye control before failure aka preventive measures..

Binti ana miaka 17 ameshaingiliwa aka kulala na mwalimu wa miaka 32 kwa miezi mingi sana, bikra haipo tena hapo, tabia imeshabadirika na binti ameshazoea yale mambo ya ukubwa tena,aliyemzoesha na kufanya naye ndio huyo tunapeleka jela 30yrs sasa huyu binti wa 17yrs si ndio anabaki asusa uraiani huku kwa kupigwa zile tunaita "chapa ilale" 17yrs umri wa serikali, bado lakini kimaumbile unakuta binti tayari chanel zinashika..

Ushauri, hukumu ya busara Mwalimu aozeshwe binti na hakuna kuachana yaani marufuku mpaka kifo na cheti chao cha ndoa kinakuwa na mhuri kabisa... Binti aendelee na shule kutokea nyumbani kwa mmewe na kidume asimamie hilo kuhakikisha binti anamaliza vidato huku akitoa report kwa mamlaka..

Wazazi wapewe elimu namna bora ya kulea watoto na kuwalinda kuanzia wakike na kiume, Watu wa ustawi wa jamii wafuatilie kwa ukaribu watoto mashuleni kujua mazingira ya watoto, ustawi wa jamii wawe more practical sasa than theory na kukaa ofisini na Serikali ijitahidi kuajili watu wengi wa ustawi..

Lishe bora ni suala muhimu sana kwa vijana wetu ili wakue vizuri na uelewa kichwani utakaowafanya wawe active muda wote na kujielewa.

Tujitahidi kuwa more practical kwenye sera zetu kuepusha athari kwa jamii yetu..
 
Back
Top Bottom