Mwalimu kujiongezea kipato cha ziada

Mwalimu kujiongezea kipato cha ziada

Joined
May 30, 2018
Posts
10
Reaction score
2
Habari Wakuu
Mi Ni Mwalimu Ajira Mpya Serikalini 2025.

Nimeingia tu naona Mshara wangu Kizibo Afu Mahitaji Yangu Ni mengi sana.

Naomba Ushauri, Nijishugulishe na Kitu Gani Kingine Ambacho kitaniongezea Kipato Changu.

Naomba Ushauri wenu.
 
Back
Top Bottom