Masaki
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 3,463
- 755
Na tusiishie hapo tu, yaani kunua baiskeli, tunaweza pia kutuma timu ya waangalizi wa JF ili kuona na kuchambua zaidi nini kifanyike kilicho chini ya uwezo wetu tufanyemaana kutoa ni moyo jamani . Yote yanawezekana kama tutajitolea.... Ahsante
..........................................
Amani yetu inatumiwa vibaya.
Kamuzu kampeni ya kumnunulia baiskeli mwalimu Hamisi imefikia wapi?