Jongwe
JF-Expert Member
- Apr 25, 2008
- 1,040
- 662
Tumekuwa tukipiga kelele sana pale walimu wa kigeni wanapokuja kufundisha timu yetu ya taifa ya mpira wa mikuu kwamba hawana viwango.
Na huwa hatuwapi nafasi ya kuizoea timu ispokukuwa Maximo ambaye alikaa muda mrefu kidogo.
Wengine muda mfupi tu kwaheri. Sasa baada hapo akakabidhiwa mzawa Mkwasa, kwakweli sijaona mabadiliko yeyote na kelele hazipigwi za kumbadirisha. Mimi naona hata yeye hafai. Amakweli mchawi mpe mwana alee