Mwalimu C. Mwakasege ktk semina kwa vijana

Mwalimu C. Mwakasege ktk semina kwa vijana

Kasiano Muyenzi

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2018
Posts
13,972
Reaction score
22,933
Karibu vijana tumsikilize mwl tupate afya kiroho.
FB_IMG_15435791593732734.jpeg
 
Nenda ukawe brainwashed kwamba ukiona hujafanikiwa katika mipango au unakutana na challenges basi ujue ina uhusiano na mikosi ya wazazi wako,jamaa na ndugu waliopita.
Kuna mambo mengine uruhusu wengine pia wapate elimu kwa kadri wanavyoona inafaa!

Wewe kila kitu kilichokinyume na RC kwako ni tatizo. Wewe uu mtu wa aina gani?


Unamatatizo gani?
 
Enzi hizo nilikuwa raia mwema nilikuwa sikosi hizi semina. Kunakuwaga na watoto wazuri sn
 
Yawezekana akawa na pepo la ubishi huyu kijana.
Kuna mambo mengine uruhusu wengine pia wapate elimu kwa kadri wanavyoona inafaa!

Wewe kila kitu kilichokinyume na RC kwako ni tatizo. Wewe uu mtu wa aina gani?


Unamatatizo gani?
 
Back
Top Bottom