Mwalimu auawa kikatili Tarime

Wapumbavu kama hawa ni wa kupiga risasi hadharani tena hapo hapo kijijini mbele ya wapumbavu wenzao ili iwe fudisho. Huwezi kuondoa uhai wa binadamu kwa kuendekeza mila za kijinga kama hizi.
 
Nilikuwa maeneo hayo hivi karibuni mpaka sasa wameua watu wawili, wanaharibu pikipiki na kupiga watu.
 
Mwalimu akihoji anachomwa mkuki?
 
Nilikuwa maeneo hayo hivi karibuni mpaka sasa wameua watu wawili, wanaharibu pikipiki na kupiga watu.
Unaweza kuwa umekuwepo siku za hivi karibuni, lakini huwezi kufahamu kuliko wenyeji wa hapo. Kumbuka kuwa eneo hilo ni kubwa; na vijana wanaojiandaa kwa tohara ni wengine, je ni wote wanafanya hizo fujo ?
 
Alikutana na vibaka,Wa mila upewa semina kabla
 
Halafu wanaharakati uchwara wanapinga adhabu ya kifo,ningelikuwa raisi ningesaini bila kupepesa jicho.
Mnauaje mwalimu kijinga hivyo,wanyongwe tu iwe fundisho kwa wajinga wengine kama wao.
Unatafuta ugonvi na chadema Mkuu. Serikali imekosea sema hivyo upate likes za chadema
 
Wahukumiwe na wawataje wenzao wapate haki yao
 
Daaaah, poleni sana wana tarime na walimu kwa ujumla.
 
Halafu wanaharakati uchwara wanapinga adhabu ya kifo,ningelikuwa raisi ningesaini bila kupepesa jicho.
Mnauaje mwalimu kijinga hivyo,wanyongwe tu iwe fundisho kwa wajinga wengine kama wao.
yani kama ni mimi polisi watu kama hao inabidi unammwaga mmoja wao ubongo wenzake wakishuhudia...yani unammiminia nyingi zakutosha...utetezi ni kwamba alijaribu kutoroka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…