Mwalimu anatafuta mchumba wakumuoa

Mwalimu anatafuta mchumba wakumuoa

Huyu mwalimu ni mwoga tu WADADA WAMEJAA FWAA UNACHAGUA UNAYEMTAKA NA KAZ ZAO,wewe unahangaika huku majukwaan Benk mwisho wa mwez wanajaa kusimamia mitihan shulen kwako shule jiran,HATA SAMAKI ANA LA KUONGEA LAKN MDOMON KUNA MAJI,Weeee wadada wakijua unakaz wao wenyewe wanakuja!!nina na wasiwas na comfidance yako kwa mabint!
 
Back
Top Bottom