RUKUKU BOY
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 1,588
- 1,858
Hi guys.
Kuna nafasi moja ya internship kwenye organization inayodeal na elimu mkoani Kagera.
Sifa
1.awe mwalimu wa kike
2. Awe mkazi wa mkoa wa Kagera especially wilaya za Bukoba,Mleba,Karagwe.
3.Awe amehitimu chuo mwaka huu 2025
4.Mwenye shahada ya Elimu.
Posho nzuri ipo.
Karibu DM