kauzu zaidi ya dagaa
Member
- Mar 2, 2013
- 37
- 5
Mwalimu;nikikupa njiwa wawili nikakuongezea wawili nikaongeza tena wawili utakuwa na njiwa wangapi? mwanafunz;saba. mwalimu kwa ukali, yaani unasema njiwa wangapi we mtoto. mwanafunz;saba. mwalim;haya nikikupa machungwa mawili, nikaongeza mawil, nikaongeza tena mawil utakuwa na machungwa mangapi? mwanafunz;sita. mwalmu kwa hasira; sasa kwanini njiwa wasiwe sita. mwanafunz;kwasabab nyumban nina njiwa mmoja.