Mwaliko


Dah nimechelewa maana mi naishi visiwani Boti ya mwisho imekwisha niacha basi mpaka Idi ijayo mtakaofanikisha kufika hongerah zenu a enjoy!
 
Tangu mwanzo miss neddy nilishakuona u-mbaguzi wewe, sikushangai! tafsiri yako "mbali" imekupotosha, hata hapo ulipo wewe, kuna wanaJamii humu watapaona mbali kutoka walipo, njoo bhana tudumishe urafiki wetu!

hahahaha sipati picha unaanza safari saa moja unafika baada ya eidpili
 
Last edited by a moderator:
Hope wanaoweza kufka watakuja mie had nitoke mbeya ntafika zawad zmeisha. Eid mubarak
 
mkuu wewe KIBOKO............Hata hivyo nashukuru kwa mwaliko wako..................
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…