Kwani leo ni Eid? mimi hata sielewi lolote kwenye redio kimya ila rafiki zangu Bin Slum na Salim Kikeke kwenye wall zao wametoa salam za Idd.
khaaaa mbali kooote huko zawadi yenyewe ya nn???
ntavizia ubwabwa hapa msikitni na kwa mama aisha
nikishiba nirudi nlale huku nasoma jf
Khaa, hapo kwenye kupanda gari la mkaa mkuu!? Hiyo zawadi yangu nakuomba umpe Elizabeth wetu wa Ubungo!!
Asante kwa mualiko ila hiyo nauli nitakayoitumia ni bora tu niandae chakula changu home
ahsante nashukuru kwa mwaliko slim mbali kote huko siwezi kuja hahhaa
Foundation I see, unasema kweli? wacha bana!Mkuu nipo karibu na manusura wa ajali na dada yake hapa Bakwata, ni jirani wangu hapa ngoja niombe kampani ya dada mtu mtu, kama atakubali maana ni mke wa mtu sasa
Foundation I see, unasema kweli? wacha bana!