MWALIKO: Wana chit chat ungana nami kusheherekea .........

Erickb52 haachiki mtu hapa
yaani Dena Amsi ni wangu tuu hata apate bp na total na gapco na mout meru ni wangu tuu
nampenda sana aise mwambie na Baba V asikie
 
Last edited by a moderator:
Baba V unaongeleaje suala la wanachitchat kusutana?
 
Last edited by a moderator:
Baba V unaongeleaje suala la wanachitchat kusutana?

Hili ni la muhimu na ndo maana nililiundia kamati, wakati flani ni lazma tuwekane sawa ili heshma iwepo
 
Last edited by a moderator:
Hizooooooo mkuu!!! Kwa raha yako.

Hayo ndo maneno, mie tangu jana sijielewielewi hadi sasa,ninchokumbuka vizuri ni jinsia yangu na password ya kuingilia humu, otherwise nakamua tu kwa kurukia mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…