Mara nyingine kuwa na akili, sina hakika kama kuna dini inafundisha waumini wake kutokutii, hayo mengine huwa ni Utashi wa mtu binafsi ila kwa sababu ni wa Mrengo fulani wa kidini au kivyovyote vile basi atahusishwa moja kwa moja na kule anakokwenda kusali ama kazini.