Mtukutu wa Nyaigela
JF-Expert Member
- Sep 4, 2018
- 8,011
- 14,334
Duh!!Hapana Dini yenye chuki na Dini nyingine kujiona wanastahili wenyewe.Sipendi kusikia chochote kutoka kwao.
N:B MUNGU ni Upendo
balikiweni mtu wa BabaWooote mnakaribishwa kwenye makambi.
Huu ni msimu wa makambi kwa waumini wa kanisa la Waadventista wa Sabato.
Kwa mfano kuna makambi mtaa wa mabibo yanayoanza kesho. Kutakuwa na wachungaji wanne kwenye kambi hilo.
Kuna wataalam wa malezi ya watoto na vijana
Kutakuwa na mafundisho kwa wajane na Wagane
Kutakuwa na session kwa aijli ya mafundisho ya ndoa
Pia kutakuwa na masomo ya afya
Huu ni wakati unaweza ukampata mchungaji ukamuuliza maswali yoote ya kiroho yanayokutatiza
Namna ya kufika kwenye kambi: Kwa wale wanaotokea kigogo na kupita hiyo njia ya mburahati unaombwa ushuke kituo cha mafuta(shell) cha simba oil. hapo utaona makambi
Karibuni sana tujifunze Biblia
Amina. watu waje wajifunze bibliabalikiweni mtu wa Baba
Karibu kuna kwaya nyingi sanaSamahani sana umenikumbusha nilikuwa na mtu wangu yupo kurasini SDA alikuwa anapenda sana makambi kuna siku kaniambia twende anagalau usikilize ata kidogo kumbe anaimba kwaya akani surprise
Sawa mkuu. watafundishwa kutii mamlaka kwa bwanaMuwafundishe wadada wa kazi kuomba ruhusa, kuaga kwenda kwenye hayo Makambi. Yaani dada kaamka J3 anajiandaa kwenda Makambi bila kutoa taarifa. Muwafundishe kuwaheshimu wakuu wao wa kazi. Wiki nzima anafunga nyumba anasepa kurudi saa 1 kasoro jioni, Makambi. Hakuna kuomba ruhusa, hakuna maelezo. Muwafunze na adabu za kazi huko. 😕🙄
Karibu ujifunze mkuu. Na kweli Mungu ni Upendo. Pole kwa aliyekukwaza.Hapana Dini yenye chuki na Dini nyingine kujiona wanastahili wenyewe.Sipendi kusikia chochote kutoka kwao.
N:B MUNGU ni Upendo
Mtaa wa Nyasubi kahama wanamalizia kesho mkuu, fanya hima uhudhurie hiyo keshoSijahudhuria makambi almost 15yrs jaman..mwaka huu nataka nihudhurie ya kahama aisee!Mungu anisaidie
Mtaa wa Nyasubi kahama wanamalizia kesho mkuu, fanya hima uhudhurie hiyo kesho
Kwa hivyo mnawafundisha kuitii Mamlaka ya Bwana pekee ya Duniani haitakiwi kuheshimiwa? kama ni hivyo sasa naelewa uharibifu wa tabia yao unatokea huko.Sawa mkuu. watafundishwa kutii mamlaka kwa bwana
Kahama central nasikia tayariiiSijahudhuria makambi almost 15yrs jaman..mwaka huu nataka nihudhurie ya kahama aisee!Mungu anisaidie
Kahama central nasikia tayariii
Karibu ya Moshi yanaanza keshoooAlafu ndo niko pwani..nimeyakosa
Karibu ya Moshi yanaanza keshooo