real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,292
Klabu ya Everton ya nchini Uingereza inatarajia kutua nchini na kucheza meche ya kirafiki na na mshindi wa kombe la SportPesa Julai 13.
Waziri wa sanaa utamaduni na michezo Harrison Mwakyembe amesemaujio huo utatoa funzo kubwa kwa klabu na wachezaji nchini.
Ametolea mfano mchezaji wa timu hiyo Leon Osman aliyeambatana na msemaji wa SportPesa kuwa ana nidhamu ya hali ya juu japokuwa ana mafanikio makubwa lakini wachezaji wa hapa nidhamu yao inashuka baada ya kupata mafanikio kidogo tu.
Na kalabu hiyo ina miaka zaidi ya 140 lakini bado imesimama lakini klabu za hapa nchini ni ngumi kila siku na hiyo haiwezi kuzalisha timu nzuri.
Mkurugenzi wa SportPesa nchini Tarimba Abbas amesema wameamua kujikita kwenye maendeleo ya soka nchini na klabu hiyo ni uthibitisho