TRA wanahusika direct na ulinzi wa kontena?
au zilipotolewa kuna forged documents?
walinzi wa gate no 5 ni waajiriwa wa TRA?
Hajafukuzwa, bali amesimamishwa kazi ili kupisha uchunguzi ufanyike. Kumbuka kuwa, huwezi kufanya uchunguzi kwa mafanikio kama yeye atakuwa kazini...hizo ni protocol za kawaida.Sasa walinzi wa TPA ndio kamishna wa TRA afukuzwe?
unaona ni busara?
Mwakyembe alichafua kwa kupandikiza ukabla kuwaajiri ndugu zake watupu huku akishiriki kuiba sana, Mzee sita na yeye aliiba zaidi huku akihujumu Reli na kuwafanya Wamiliki wa maroli mladi wa kuchukua pesa kwa kisingizio kuwa akifufua Reli na treni za mizigo watazuiwa kupakia mizigo.kila mmoja alikuwa mwizi kwa syle yake lakini mwisho wa siku wote hawakuisaidia bandari chochote.
Lugha waliyotumia ndio inaleta mushkeli. Hakuna mwenye container aliyelalamika kuibiwa container lake bali hizo container zilitoka bila Ushuru kulipwa TRA.
Hii imejulikana baada ya kumatch kati ya TRA na TPA. Inawezekana kabisa docs za kutolea toka TRA zilikua fake.
Hajafukuzwa, bali amesimamishwa kazi ili kupisha uchunguzi ufanyike. Kumbuka kuwa, huwezi kufanya uchunguzi kwa mafanikio kama yeye atakuwa kazini...hizo ni protocol za kawaida.
Lakini, anasimamishwa kazi kwa vile kuna maofisa wa TRA ambao wamehusika directly na ukiukwaji wa maadili ya kazi yao. Ndio maana wamepigwa stop kusafiri nje ya Dar.
Wale wa TPA wamewajibishwa tayari, akiwemo mkuu wa forodha.(kama sikosei).he must've been the mastermind.
Hapo hilo linawezekana bila kamishna wa TRA kujua
maofisa wa chini waka forge documents...na walinzi wa TRA wakaruhusu kontena zipite
na wenye kontena kama hawajalalamika it means wanahusika...
kamishna kaonewa..yeye kazi yake kuu ni kukusanya mapato nchi nzima
sio kulinda makontena bandarini
Mwakyembe alichafua kwa kupandikiza ukabla kuwaajiri ndugu zake watupu huku akishiriki kuiba sana, Mzee sita na yeye aliiba zaidi huku akihujumu Reli na kuwafanya Wamiliki wa maroli mladi wa kuchukua pesa kwa kisingizio kuwa akifufua Reli na treni za mizigo watazuiwa kupakia mizigo.kila mmoja alikuwa mwizi kwa syle yake lakini mwisho wa siku wote hawakuisaidia bandari chochote.
Naona The Boss una uswahiba na ex Boss wa TRA. Mwache Magufuli aweke watu wanaokwenda na kasi yake.
Bado sijaona sababu ya kumsimamisha kamishna wa TRA...
kumbuka kazi yake kuu ni kukusanya mapato nchi nzima
na sio kulinda kontena bandarini..kama kuna cartel ya wizi bandarini waikamate kwanza
hadi wapate sababu za kumhisi kamishna anahusika ndo asimamishwe
The Boss, sababu za kumsimamisha zipo, ni sahihi kabisa kumsimamisha.Bado sijaona sababu ya kumsimamisha kamishna wa TRA...
kumbuka kazi yake kuu ni kukusanya mapato nchi nzima
na sio kulinda kontena bandarini..kama kuna cartel ya wizi bandarini waikamate kwanza
hadi wapate sababu za kumhisi kamishna anahusika ndo asimamishwe
Kama hamkubali kamishna utendaji angemuondoa tu na kumbadilisha
ila kusema kafukuzwa kazi kisa wizi wa kontena huoni kama
kamdhalilisha mtu? ulinzi wa kontena sio direct responsibility ya kamishna wa TRA...