Mbona unataka kufanya mambo yawe magumu bila ya sababu? Kwani ni nani amekwambia nchi yetu ina hiyo uliyoiita ,,effieciency ya Uongozi"? Ingekuwepo tungekuwa third world?
Acha kupoteza muda wako kwa kuanza kuchimba na kupekenyua mambo ili mradi tu upate cha kumkosoa Raisi Magufuli kwa ayafanyayo!
Kuna jambo unapaswa ulitambue kama bado haujalitambua kila kitu hapa Duniani ni relative hivyo muache Raisi Magufuli atumikie Uraisi wake ndiyo kwanza ana wiki tatu hivyo siyo fair Duniani hata kwa Mungu kuanza kumuhukumu Kiongozi aliyeko madarakani kwa muda wa wiki tatu, hakuna mtu mwenye akili ambaye atakuelewa Dunia hii kwamba yote haya na shutuma zote hizi ni Raisi aliyeko madarakani kwa wiki tatu tu!
Hao walikuwa mawaziri wa uchukuzi sio wizara ya fedha.
Bandari kwenye sakata hili inaonyesha walifanya kazi yao. Sehemu iliyobaki ilikuwa TRA. Waziri mmoja hawezi kuingilia wizara nyingine ndiyo mgawanyo wa kazi.
Ndiyo ile orodha Majaliwa kaipata bandarini. Inaelekea watu wamefanya reconciliation, wakaona madudu sehemu ya TRA.
Mkuu The Boss Hii issue ya container 300+ Bandari wako safe inawezekana hata port charges zote zililipwa ndio maana yanaonekana kwenye system ya TPA.
Tatizo liko TRA Kwa kuwa hayako kwenye system yao na wala Ushuru haujalipwa. Sujui kama kuna mfanyakazo wa TPA kawajibishwa zaidi ya kuambiwa wa review walinzi wa Gate 5.
Mkuu The Boss Hii issue ya container 300+ Bandari wako safe inawezekana hata port charges zote zililipwa ndio maana yanaonekana kwenye system ya TPA.
Tatizo liko TRA Kwa kuwa hayako kwenye system yao na wala Ushuru haujalipwa. Sujui kama kuna mfanyakazo wa TPA kawajibishwa zaidi ya kuambiwa wa review walinzi wa Gate 5.
Si kwamba Bandari hakuna madudu. Lakini hili suala la makontena haliwahusu. Nu Saada Mkuya na TRA yake.
Mimi Nadhani Bandari inabidi iwe na mamlaka kamili. Yaani wakusanye tozo zao pamoja na kodi na kuipeleka hazina moja kwa moja. Kwanza itapunguza urasimu. Hiki bandari,kile TRA kwa mzigo huo. Iwe desk moja tu. Tozo na kodi hapo hapo.
One stop shop
kimeahidiwa we miaka inaenda....
Kwa mtazamo mwingine ni kuwa TPA walifanya kazi yao, walifanya records za containers na wenye containers walilipa custom duties kama kawaida ndio maana records zipo wazi TPA...
Shida ipo huko TRA, ICT ya TPA na walinzi wa TPA Gate 5, kuna rushwa zilitembezwa hapo ili containers zipitishwe bila TRA kulipwa kodi stahiki, maana yake inawezekana wafanyakazi wa TRA walikuwa na records zilizotumwa na TPA, lakini wao kwa kupewa rushwa wakatoa release order bila kupokea malipo...
Mchezo ulichezwa na maafisa wa TRA, ICT ya TPA na walinzi...huwezi kuihusisha TPA moja kwa moja coz tayari management ilipokea containers, walitoza custom duties na kurelease docs TRA..ndivyo nilivyoelewa!
Swadakta !TRA wanahusika direct na ulinzi wa kontena?
au zilipotolewa kuna forged documents?
walinzi wa gate no 5 ni waajiriwa wa TRA?