kila taasisi za serikali ni matatizo, mpaka TRA wanajihusisha kuihujumu nchi yetu, mbali na kulipwa mishahara mikubwa. Polisi nayo imeoza, ndiyo maana inaitwa ni kichaka na genge la wahalifu. Nani ametuloga watanzania jamani?
Hii inaonyesha kuwa mfumo mzima umeoza kwa wizi na rushwaHapa kuna tatizo kubwa sana. Hivi hadi waziri awe anakamata vitu kama hivi wahusika kama polisi na wanausalama wengine wanakuwa wako wapi? Kwa hiyo kama waziri asingeenda kuwakamata ndiyo ingekuwa basi tena malori yanapita kinyemela? Huenda kuna kitu zaidi hapo. Ina maana hawakujua hadi waziri ndio aje kukamata au ndiye yale yale nani atamvika paka kengele?
Hongera kamanda Mwakyembe. Ndaga fijo na hayo malori
Hapa Bongo watu wanaendesha hadi magari ya millioni 200 ukijiuliza kwa uchumi gani hujijibu! Hayo ndiyo majawabu; malori 26 yapite kinyemela unadhani hao wahusika wangevuna kiasi gani?