1. Kuna taarifa kwamba kuna marubani zaidi ya 60 ambao wapo nyumbani kwa miaka minne sasa na wanalipwa shillingi milioni sita kila mwezi. Hii ni sawa na zaidi ya milioni 400 kwa mwezi, zaidi ya bilioni nne kwa mwaka, karibia bilioni 20 katika kipindi cha miaka minne iliyopita. Hizi ni fedha ambazo zinapotea bila wahusika kuwa na mchango wowote kwa shirika hili la umma.
2. Kuna watumishi ambao Mkurugenzi Mkuu wa zamani aliwaajiri kwa wingi sana kwa misingi ya urafiki wa kijinsia na undugu, na wengi ya hawa hawana sifa za nafasi zao, na kwa sasa hawana lolote la maana wanalofanya kwani hakuna kazi za kufanya katika shirika linalokufa, sana sana wanapoteza fedha za walipa kodi.
3. Kuna mkono wa vigogo kuhakikisha shirika hili halifanikiwa, kama ilivyotokea kwenye sekta ya reli, ili kunufaisha biashara binafsi za vigogo.
Mwakyembe unasubiri nini kusafisha madudu haya?
Tina,'Yuko bize kusafisha Bandari ambayo ilikua inaendesha biashara kwa faida kabla ya kuikoroga! Akaacha taasisi ambazo zinahitaji kusaidiwa! Time will tell Watanzania tutakapofanya kazi na kuacha siasa na mbwembwe!!
TUTAJUTA....
Yuko bize kusafisha Bandari ambayo ilikua inaendesha biashara kwa faida kabla ya kuikoroga! Akaacha taasisi ambazo zinahitaji kusaidiwa! Time will tell Watanzania tutakapofanya kazi na kuacha siasa na mbwembwe!!
TUTAJUTA....
Inaelekea wewe ni mhanga wa bandari mirija yako imekatwa unalialia na bado. Au lile buzi lako limetemwa fanya biashara nyingineYuko bize kusafisha Bandari ambayo ilikua inaendesha biashara kwa faida kabla ya kuikoroga! Akaacha taasisi ambazo zinahitaji kusaidiwa! Time will tell Watanzania tutakapofanya kazi na kuacha siasa na mbwembwe!!
TUTAJUTA....
kama aliambiwa akague vyumba vyote hicho cha mwisho achungulie tu dirishani atafanyaje?kama ameweza kuipangua ngome ya bandari then ATCL ni kazi rahisi sana kwake.
Jamani wacha tuwe serious kidogo ATCL haiwezi kuwa na marubani 60 na haijawai kuwa na marubani 60 tangu ianzishwe. Kwa ndege ngapi. Kawaida kila ndege moja inahitaji seti 3 (maximum) za marubani yaani marubani sita. Pili sio ukweli hata kidogo kwamba Mkurugenzi Mkuu aliyepita aliajiri watu kwa upendeleo. Tangu ATCL iachane na South African Airways (2006) ajira zilisitishwa katika shirika hili. Nakubali kwamba kwa ndege zilizopo bado wafanyakazi ni wengi lakini hilo ni swala lingine kabisa.
1. Kuna taarifa kwamba kuna marubani zaidi ya 60 ambao wapo nyumbani kwa miaka minne sasa na wanalipwa shillingi milioni sita kila mwezi. Hii ni sawa na zaidi ya milioni 400 kwa mwezi, zaidi ya bilioni nne kwa mwaka, karibia bilioni 20 katika kipindi cha miaka minne iliyopita. Hizi ni fedha ambazo zinapotea bila wahusika kuwa na mchango wowote kwa shirika hili la umma.
2. Kuna watumishi ambao Mkurugenzi Mkuu wa zamani aliwaajiri kwa wingi sana kwa misingi ya urafiki wa kijinsia na undugu, na wengi ya hawa hawana sifa za nafasi zao, na kwa sasa hawana lolote la maana wanalofanya kwani hakuna kazi za kufanya katika shirika linalokufa, sana sana wanapoteza fedha za walipa kodi.
3. Kuna ushahidi tosha kwamba kuna mkono wa vigogo kuhakikisha shirika hili halifanikiwi, kama ilivyotokea kwenye sekta ya reli, ili kunufaisha biashara binafsi za vigogo katika sekta ya usafiri.
Dr. Mwakyembe, unasubiri nini kusafisha madudu haya badala ya kuokoa fedha za walipa kodi zinazo zidi kupotea kwa wingi?
Point na 3: tusaidie ushahidi huo tuuone. ATCL imekabiliwa na matatizo mengi tangu kuanzishwa kwake; mengine yakiwa ya kimuundo, kiuendeshaji, uwekezaji na mfumo wetu wa bihashara. Ni rahisi sana kusingizia hujuma lakini ni vyema tujiulize zaidi ya hapo.
Je shirika lilianza kwa mtaji wa kutosha na uwekezaji ulifanyika kwa wakati kufuatana na Hali ya kibiashara? Je wateule wa kuendesha shirika walikuwa wataalamu wa bihashara hiyo na wakipewa msaada unaotakiwa na mwenye hisa? Je safari zake na gharama walizotoza hazikuingiliwa kisiasa (kuna mawazo kuwa kwa kuwa ATCL ni shirika la umma basi liende sehemu ambazo hakuna biashara na pia kwa gharama 'nafuu')? Ni mengi ya kuangalia ukuzingatia kuwa mazingira ya biashara ya usafiri wa anga sasa hivi siyo Kama ilivyokuwa miaka ya 70/80!
Sidhani kama wamefikia 60...waliomo ndani ATCL atusaidie kutupa update za marubani!