Mwakyembe kutangaza ajira alizoshinikiza TPA

Hivi karibuni mamlaka ya bandari ilitangaza ajira za nafasi za juu na watu waliomba. Ilikubaliwa kuipa kampuni reputable kufanya usaili but Mwakyembe aliamua kulazimisha ipigwe juu juu kuwapa ulaji watu awatakao. Leo baada ya kuishinikiza bodi aliyoipunguza kutoka 9 hadi 6 kukutana Mtwara na kutoa ajira hizo bila usaili kwa watu awatakao akiwamo Magesa ambaye wako nae ktk dili la Electronic Cargo Tracking Note e-CTN ambayo hadi sasa ni utata mtupu. Pia wamo walioitwa kutoka Tanroads waliokua washkaji wao yeye na Kipande.

Huyu ndiye aliyekua mpambanaji wa ufisadi now amegeuka.
tunakushukuru sana kwa taarifa yako na Mungu akulinde sana .
 
Tina popote ulipo hongera kwa kusimamia ulicho kifahamu watu walikuona huna akili sasa imejidhihirisha wao ndio vichaaa yale uliyosema sasa yameonekana wazi kabisaa
 
Last edited by a moderator:
Nimejifunza kuwa na akiba ya maneno......watu mlimtusi mleta mada aliposema Mwakyembe anafisadi TPA

Hata nami wakati namsoma kipindi kile, nilijua lazima kuna kitu kimejificha. Mdau alikuwa so informed na watu walimtukana sana. Hii sio thread pekee kuna zingine kama mbili hivi. Kwavile uelewa wangu wa mambo ya bandarini ulikuwa almost sifuri, nilikuwa najielimisha tu by being open minded.

Sijui yuko wapi mtoa mada, I wish angesema kitu tena
 
Mzoea vya kunyonga kweli vya kuchinja haviwezi sasa wewe kwakuwa mwakyembe kaziba mirija ya ulaji ndo unaamua kuja kumchafua jf. ------- mkubwa mmelitia taifa letu saga mbovu mkalipaka matope tunaitwa wezi kisa ni nyie kundi dogo la watumliojifanya miungu with pale bandarini Leo mmekatiwa mirija yenu unaleta kelele. wakomeshe hao mh. wala usiwape nafasi tena ikiwezekana fukuza wote maana walizoea kula vya bure wezi wakubwa nyambaf. safi sana mwakyembe kaza uzi

Unaweza kurudi hapa kumwomba radhi bi Tina?? Au busara zako hazikutumi hivyo?
 
Last edited by a moderator:
Tina namkubali sana kwa mambo ya bandarini. Alikuwa anashusha nondo kali lakini watu walikuwa wanamtukana kumbe
alikuwa anajua mengi sana ya hapo.
 
Duuu sijui Mh Mwakyembe alikukosea nini huko bandarini!! maana tukoa ameanza kusafisha uko ww ni kulalamika tu...Hivi hakuna jema analofanya uko ukatujuza? maana hata issue ya kipande ni tatizo

Ni wachache sana waliamini tulivowaambia kuwa Mwakyembe ni mpigaji kama wapigaji wengine kwenye serikali ya JK. wengi mlituona kama wapinzani tuliojawa na wivu.. Haya sasa tingatinga limevamia mmeshuhudia mauchafu???

Bado una swali kwa mzalendo bi Tina
 
Last edited by a moderator:
Mtahangaika sana Chadema, Mwakyembe hajaiba chochote mnachokifanya ni fitina,umbeya na majungu ambayo hayatawasaidia.
 
Nafikili huyu Mzee atakuwa mpagaji kweli hata issue ya mabehewa feki inamuhusu kweli
 
Mtaganga njaa sana, mmeshakwiba mali za watanzania vya kutosha. Mmebaki na fitina tu huku mitandaoni. Kama una hoja si formal channels zipo kwanini usizipekele huko hatua stahiki zichukuliwa umegandamana hapa ambapo unaficha identity yako? Si umpenyezee hata mmgunge wako akaihoji serikali bungeni? acha longolongo, hela za wizi zimeisha na ushafulia heshima imekushuka mtaani huna lolote, chxiyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu

..aibu nimeona mimi!
 
Back
Top Bottom