Mwakyembe kadhalilishwa?

Serikali ya lugha gongana, kila mmoja anatafuta kiki kwa wakati wake.
 
Mwakyembe amekurupuka au alikua sahihi? Anaejua hili ni Mwakyembe mwenyewe, alipoamua kutamka hayo alikua ana mawazo gani?


Lakini nahisi bosi wake nae hakumtendea haki kwa kufuta agizo hilo kwa staili ile.

Hii serikali sielewi hata kidogo, naona wajenzi wa mnara wa Babeli wanaweza kutusaidia
 
Tumekwisha sema kwamba kama Waziri husika anaona hakutendewa haki ni bora ajiuzulu. A learned person and a doctor at that should stand by his words. To keep his honor he should step down and the earlier the better. Kama alivyowahi kuwaambia wenzie "atafakari, ajipime na achukue hatua"
 
Je, wasio na vyeti vya kuzaliwa, walidhalilishwa na waziri?
 
Je, wasio na vyeti vya kuzaliwa, walidhalilishwa na waziri?


Sijasema kwamba waziri hakukosea, je umesahau kanuni ya Biblia tusilipe baya kwa baya? kwani kuna dhambi gani Rais kumwita waziri na kuongea naye na kumwambia akatengue kauli yake? mbona kuna anayepigiwa kelele siku zote Rais haja react immediately kama ya Mwakyembe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…