Halafu huyu Mwakyembe si alisema ataondoka na mkuu wa nchi na hatagombea ubunge tena,ni kipi kilichomrudisha na ni jambo jipi jipya ambalokashindwa kulifanya kwa miaka kumi kwa leo atalifanya?barabara mbovu na za chini ya viwango nae yupo tu ni mwenyekiti wa halmashauri ndugu Kipija ndio anahangaika,hizo baiskeli hazitawasaidia wana Kyela ,Mwakyembe ni ''Past tense''miaka 10 imemtosha hana jipya.Mgiriki usimjdanganye Mwakyembe ili kumlia hela zame, wewe hukai kyela, Mwekyembe huku kwetu ni zilipendwa danganyaneni huko huko Dar
unajidanganya kwa faida ya nani ? kama ingekuwa hivyo kwanini anawanunulia pombe za asili wanawake wajane ?Upande wa ccm kule kyela hakuna anayeweza kushindana na mwakyembe najua yeye ndio atasimamishwa kugombea ubunge na hakuna mgombea wa chadema anayeweza kumwangusha mwakyembe..
Wasioijua Kyela ndio wanaiongelea.
Wakiwekwa Mwakyembe Vs Mwanyamaki....
mwanyamaki atashinda kwa kishindo .Wasioijua Kyela ndio wanaiongelea.
Wakiwekwa Mwakyembe Vs Mwanyamaki....
Anajua mwakyembe.Vp ishu ya mabehewa imeishaje
Lete ushahidi sio maneno tuu
Upande wa ccm kule kyela hakuna anayeweza kushindana na mwakyembe najua yeye ndio atasimamishwa kugombea ubunge na hakuna mgombea wa chadema anayeweza kumwangusha mwakyembe..
...Ukwelii ndio huo. DR. H. M. Ni material ya kitaifaa..
Upande wa ccm kule kyela hakuna anayeweza kushindana na mwakyembe najua yeye ndio atasimamishwa kugombea ubunge na hakuna mgombea wa chadema anayeweza kumwangusha mwakyembe..
Vip George Mwakalinga hajagombea?ni nani mpinzani wake mkuu ndani ya CCM?