Mwakyembe angeanza na makocha kwanza.

Jacobus

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
4,681
1,698
Inavoonekana waziri wa michezo hapa nchini, mheshimiwa Mwakyembe, analazimisha kupunguza wachezaji wa nchi za nje kwenye timu zetu, sawa ila mie nadhani angeanza na makocha toka nje kwanza kuona ubora wao kama wanafaa kwenye timu zetu.
Ubora wa kocha ndo ubora wa wachezaji.
 
Kwani kunaulazima wachezaji wabongo wacheze hapahapa bongo.si waende mbele huko au nchi nyengine za afrika.
Wao wakija kwetu sisi twendeni kwao mnasumbua vichwa kwa vitu ambavyo havina hata maana.
 
Mwakyembe wa ajabu sana,nimemwangalia tbc anasema tbc waonyeshe live ligi daraja la kwanza na la pili,tbc ambayo hata kurusha live hotuba ya rais wanatoa jasho sembuse ligi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom