Euphransia
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 937
- 778
Bw.Mwakyembe amekuwa anatumia vibaya madaraka yakevkama Waziri wa Sheria kuleta siasa kwenye chombo muhimu cha TLS.Bw.Mwakyembe amekuwa anahaha kuhakikisha CCM inashinda Urais wa Chombo hicho kwani amekuwa Na figisufigisu sana.Msomi ka Mwakyembe kuufanya uchaguzi wa TLS kama uchaguzi wa Ubunge Na kutaka mgombea wa CCM ashinde kunanifanya nimshangae Waziri huyu.Wajumbe wa TLS mkiwa wasomi okoeni chombo chenu Kwa kuwapata viongozi imara.Mwakyembe anataka kuwaingizia UCCM kwenye chombo chenu.