Mwakyembe anasikitisha! Walaaniwe wanaohusika!

akaombewe kwa mzee wa upako kibangu
 
Kuna mtu kaniambia kuwa kwa hali aliyonayo sasa, uhai ni mdogo sana. Sijui ukweli wa hili lakini ina maana gani kama mtu upotee bila jamii kujua lililokusibu na kupelekea umauti wako? Mimi nadhani kama yeye hawezi kusema, atumie mbinu nyingine kuanika mambo ili likitokea la kutokea jamii ijue ukweli.

Kama aliweza kuanika 'ukweli' wa richardmonduli (richmond) anashindwaje hili la afya yake mwenyewe?
 
watanzania wenzangu sio busara hata kidogo kufurahi au kuchimba chimba mambo yasiokuwa ya msingi, kwa hali ya mwakyembe na ugonjwa alio nao inatia simanzi kubwa, tutafakari kwa kina watu wanaotafuta madaraka kwa kuwafanyia wenzao hayo kweli ni binadamu au wanyama, na mbaya zaidi wengine wao wanakaa viti vya mbele katika nyumba za ibada , hukumu na upanga wa mumgu uu juu yao, mungu ampe afya mwakyembe
 
Kuna wasioliona hili, alikubali kutumiwa na wenye uchu wa madaraka na wasioweza hata kuongoza serikali ya kijiji, sasa imeshamung،unya kwake, bora ajifungie kwake amalize siku zake zilizosalia kwa amani.
hana lolote...mroho wa madaraka
 
Sasa anasubiri nini kulipua mabom?au anataka afe kijerumani na tai shingoni?ye wameshamlostisha tayari, kinachotakiwa na yeye awalipue tu,kama noma na iwe noma.
 
yule kamanda wa morogoro Sabasita aliyemtuhumu kutaka kushiriki kwenye mauaji yake ameamishiwa CCP moshi kwenye chuo cha polisi
Hata kabla ya kwenda Morogoro alitokea CCP hukohuko.
 
huenda anasubiri 2015 ikaribie ndo aweke mambo hadharani kwa kudhani utakuwa mtaji wa kisiasa
 
Pole sana Comrade Mwakyembe ndio siasa za kiafrika hizo hazina fair play..
 

Nimeonelea niiweke habari hii vizuri ili watu wote tuweze kuisoma kwa urahisi!!
 
nafikiri ni zaidi ya mapumziko

hahahaha
yaani unamaanisha nini mkuu,zaidi ya mapunziko ukimaanisha kukaa bila kufanya kazi ya aina yeyote ile ukiachana na hizi kazi za kisiasa? ama unajingine?
 
hana lolote ujasiri alikuwa nao wakati wa ripoti ya richmond,kama ni ishu inayohusu maslahi ya wananchi kwa nini muite siri??
 
Alianika uongo juu ya richmond, alitumika kuwaficha wahusika, alitumika kuwachafua wasiohusika- huenda hili ndilo linalomgarimu. Pole zake.
 
Pole dr mwakyembe! Kumbuka mficha uchi hazai. Hiv kwa nin dr asitueleze kinachokusibu?je waziri sita alisema uongo. Kama alisema ukweli umemweka kwenye mazingira gani? Je unaifichia aibu serikali wakti wanataka ufe?inasikitisha ila ni wakati wako kufunguka. Kumbuka linalofanyika kama ulipewa sumu basi wanafanya chini juu wakumalizie tu. Wakiristu wakitubu dhambi zao huwa wanasema walichotenda. Ni wakt wako kama ulifanya makosa utubu au kama ulitendewa makosa sema ili waje watubu na uwasamehe 7x70
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…