R.B
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 6,296
- 2,578
nchi hii ina comedy!!! Nimecheka sasa kuona picha ya mwakyembe na wawekezaji hao. Mungu ibariki tanzania
kwanini ; ucheke
nchi hii ina comedy!!! Nimecheka sasa kuona picha ya mwakyembe na wawekezaji hao. Mungu ibariki tanzania
Nimecheka kwa sababu nimekumbuka kisa cha huyu mwekezaji wa treni za airport to town. Hii inanikumbusha pita michoro ya flyovers za Tazara, Morocco na Ubungo. Hatujambo kwa picha.kwanini ; ucheke
Sitta ni sheeeda lina roho mbaya kama kima
Nimecheka kwa sababu nimekumbuka kisa cha huyu mwekezaji wa treni za airport to town. Hii inanikumbusha pita michoro ya flyovers za Tazara, Morocco na Ubungo. Hatujambo kwa picha.
Kwa swala la gari moshi wala simlaumu Sita, mana lile dude lilikuwa linaingiza hasara ilikuwa nusu ya watu wanapanda bure na nusu walipao hela zinaishia mifukoni kwa watu