Mwakyembe amehamishwa yeye na Treni yake

kuna tetesi kuwa jamaa alijaza wanyekyusa wenzake karibia kila nafasi. nasikia hasa reli ya Tazara.
unaweza kuyakanusha haya?

Ni kawaida yetu Waafrika tulio wengi, mzazi anapofariki (kama ana miliki biashara), basi na biashara alioiacha nayo itakufa! Dalili zimeshaanza kuonyesha, kuhamishwa kwa Mh. Mwakyembe kwenda wizara nyingine, kutafifisha miradi na sera zake zote.....na pengine kumvunja moyo huyu muheshimiwa!

Ni siku ya pili leo tangia Mh. Mwakyembe awe ameanza kufanya kazi katika Wizara yake Mpya, lakini pia ni siku ya pili leo tangu Treni ya abiria inayofanya shughuli zake za kubeba abiria kati ya Stesheni na Ubungo kutofanya hivyo, tena bila maelezo yeyote kwa wateja wake!

Ukiziona nyuso za abiria wanaosubiri treni hiyo kwa usafri, hakika ni za uzuni mkubwa sana! Na hawana imani tena juu ya ubunifu huu wa Mwakyembe kwa swala la treni, kama utadumu! Mh. Mwakyembe alikuwa mkali sana kuhakikisha huduma hii ya kuwakomboa wananchi wengi wa jiiji la Dar es Salaam na adha ya usafiri inasimama imara, hivyo siamini kabisa kama Mh. Sitta ataweza kufanya the same!

Sisi wapenzi wa soka, tunafananisha kitendo cha kumwamisha Harrison Mwakyembe kutoka Wizara ya Uchukuzi na kwenda Wizara ya Africa Mashariki ni sawa na kumwambia Critiano Ronaldo aache kushambulia na kufunga mabao, na aende golini kudaka kuwa kipa!
 
Mzee Sita yy ni Mnoko lakini Si Mchapa kazi atakachofanya ni kupiga dili tu na kila atakayefurukuta ni kufutwa kazi , na huenda Bandari ikaludi kuwa mbaya na wizi kurejea kwa kasi ya Hatari .

sijamwona sita akikabidhiwa ofisi wala dr.mwakyembe akikaribishwa kuna tatizo gani? au bado wanajipanga?
 
Ni kawaida yetu Waafrika tulio wengi, mzazi anapofariki (kama ana miliki biashara), basi na biashara alioiacha nayo itakufa! Dalili zimeshaanza kuonyesha, kuhamishwa kwa Mh. Mwakyembe kwenda wizara nyingine, kutafifisha miradi na sera zake zote.....na pengine kumvunja moyo huyu muheshimiwa!

Ni siku ya pili leo tangia Mh. Mwakyembe awe ameanza kufanya kazi katika Wizara yake Mpya, lakini pia ni siku ya pili leo tangu Treni ya abiria inayofanya shughuli zake za kubeba abiria kati ya Stesheni na Ubungo kutofanya hivyo, tena bila maelezo yeyote kwa wateja wake!

Ukiziona nyuso za abiria wanaosubiri treni hiyo kwa usafri, hakika ni za uzuni mkubwa sana! Na hawana imani tena juu ya ubunifu huu wa Mwakyembe kwa swala la treni, kama utadumu! Mh. Mwakyembe alikuwa mkali sana kuhakikisha huduma hii ya kuwakomboa wananchi wengi wa jiiji la Dar es Salaam na adha ya usafiri inasimama imara, hivyo siamini kabisa kama Mh. Sitta ataweza kufanya the same!

Sisi wapenzi wa soka, tunafananisha kitendo cha kumwamisha Harrison Mwakyembe kutoka Wizara ya Uchukuzi na kwenda Wizara ya Africa Mashariki ni sawa na kumwambia Critiano Ronaldo aache kushambulia na kufunga mabao, na aende golini kudaka kuwa kipa!

Ingawa natambua aina ya utawala na mfumo anao utumikia kwamba usingemwezesha kufanya kazi kwa matarajio yake,lakini kwa maoni yangu Mwakyembe ni looser ambaye amechemsha mbaya akiwa ktk hii Wizara.

Ukitembea kokote ukakutana na uhuni wa daladala,mabasi,bajaji,_bodaboda,malori,nk,yotehaya ni kushindwa kwa huyu ndugu yako na walio mtangulia! Ni dunia gani ya kistaarabu ambako hakuna taratibu na sheria kiasi cha kukuta Bajaj,bodaboda na malori na mabasi mabovu yakiwa barabarani tena barabara zenyee hadhi ya highways kama Bagamoyo,Morogoro,Mandela,nk??
 
mzee 6 atashughulikia

Sitta is too old for any ministerial post na kumtoa Mwakyembe uchukuzi ni kumkatisha ari ya kazi. Sasa bandarini na mafisadi wa treni na wenye malori makubwa watafanya sherehe! Wizara ya EA ingekuwa tu idara kwenye wizara ya Membe!
 
kwa hiyo watu mmeludi kwenye foleni kama kawaida,tumuombee Mwakyembe jamani
 
Serikali ina namna ya kupata taarifa zake,sidhani kama mwakyembe ni muadilifu kihivyo,ila pia hakuwa na mahusiano na watu anao waongoza,pia he is arrogant asiye shaurika na kufanya maamuz ya kukurupa
 
Ni kawaida yetu Waafrika tulio wengi, mzazi anapofariki (kama ana miliki biashara), basi na biashara alioiacha nayo itakufa! Dalili zimeshaanza kuonyesha, kuhamishwa kwa Mh. Mwakyembe kwenda wizara nyingine, kutafifisha miradi na sera zake zote.....na pengine kumvunja moyo huyu muheshimiwa!

Ni siku ya pili leo tangia Mh. Mwakyembe awe ameanza kufanya kazi katika Wizara yake Mpya, lakini pia ni siku ya pili leo tangu Treni ya abiria inayofanya shughuli zake za kubeba abiria kati ya Stesheni na Ubungo kutofanya hivyo, tena bila maelezo yeyote kwa wateja wake!

Ukiziona nyuso za abiria wanaosubiri treni hiyo kwa usafri, hakika ni za uzuni mkubwa sana! Na hawana imani tena juu ya ubunifu huu wa Mwakyembe kwa swala la treni, kama utadumu! Mh. Mwakyembe alikuwa mkali sana kuhakikisha huduma hii ya kuwakomboa wananchi wengi wa jiiji la Dar es Salaam na adha ya usafiri inasimama imara, hivyo siamini kabisa kama Mh. Sitta ataweza kufanya the same!

Sisi wapenzi wa soka, tunafananisha kitendo cha kumwamisha Harrison Mwakyembe kutoka Wizara ya Uchukuzi na kwenda Wizara ya Africa Mashariki ni sawa na kumwambia Critiano Ronaldo aache kushambulia na kufunga mabao, na aende golini kudaka kuwa kipa!

Mkuu unaeleza kama wewe si mtanzania, ukiwa hapa JF unatakiwa kujua kuwa siasa zetu ni sarakasi fulani. UKifanya zuri basi unakuwa adui, ukiwa mwizi unakuwa mwenzetu. Ungemwambia toka mwanzo kuwa Uwanja wa ndege ni njia ya biashara za watu na badari ni deal za watu. Asingegusa huko alikuwa na miezi 9 zaidi ya wizara hiyo.
 
Ni muda sasa bila taarifa treni ya Mwakyembe haionekani ikifanya kazi Posta- Ubungo maziwa na mpaka sasa hakuna sababu iliyotolewa ,
foleni ni kubwa sana mida ya jioni.

Waziri Sitta halioni hilo au lengo lake ni kudhoofisha miradi na uongozi wa Mwakyembe?.
 
hii serikali hakuna walichoanzisha kikafanikiwa vyote vimefeli tu.
 
Wanakomoana Hao. Hawana huruma na watz na bado wanataka uongozi, kweli hii Ndio tz
 
Roho mbaya za watawala wetu hata kuingilia madhehebu ya dini zetu,Sitta hana kitu kipya zaidi ya kujitapa SPIDI NA VIWANGO HANA JIPYA ZAIDI YA ROHO MBAYA KWA WATANZANIA na kuwaltea katiba PANDIKIZI.Tukisema wamechoka na hawana jipya hatutanii.
 
Sitta anao uwezo mkubwa wa kujitoa ufahamu. Mambo yake yote ya kibabe. Apate uraisi hii nchi watu wataikimbia!!
 
ha ha ha; mzee wa viwango vs mzee wa maamuzi magumu. nani shidaa
 
nilitegemea tunaelekea huku
DSC_4812.JPG

naona waziri sitta kimya

kakataa mabehewa kushushwa ; N a yako baharini;

watu wengine ni shida
 
Nchi hii Ina comedy!!! Nimecheka sasa kuona picha ya Mwakyembe na wawekezaji hao. Mungu ibariki Tanzania
 
Back
Top Bottom