Zurie
JF-Expert Member
- Jul 6, 2014
- 2,002
- 5,536
Waziri wa Sheria na Katiba, Dk.Harrison Mwakyembe alibainisha Bungeni siku ya Ijumaa kuwa takwimu zinaonesha kuwa watu 19 hubakwa kwa siku sawa na wastani wa watu 570 kwa mwezi au 6,840 kwa mwaka.
Aidha alisema mashauri yaliyopo mahakamani hadi Machi mwaka huu ni 2,031 huku kesi 62 zikishindwa kutolewa hukumu na mahakama mbalimbali za jijini Dar es Salaam katika kipindi cha 2014 hadi 2015.
My concern:
Kwanini Watanzania tunasita sana inapokuja kwenye suala la ubakaji? Twakimu hizo hazibalance kabisa hivyo inaonekana vitendo vingi vya namna hiyo havifikishwi kwenye mamlaka za kisheria.Lakini hatuwezi kulaumu kwani kama inavyoonekana pia kwenye maelezo yake ni kuwa hata mahakama imelishindwa janga hili na kupelekea kutotoa hukumu kwa baadhi ya kesi.
Je watu hao wakadai wapi haki zao?