mwaka wa double impact..

bullbar

Senior Member
Oct 21, 2014
130
225
heri ya mwaka mpya wana jf..natumai Mungu wetu alie juu ameshusha baraka zake kwenu ndugu zangu..
Nisiwachoshe,katika pita zangu usiku wa saa tano na nusu kurudi nyumbani nkasema nipitie mahala kuchukua chakula mahala nlipo zoea..sasa nikiwa nimefungiwa(take away) nikakutana na binti mmbichi akasema amepoteza pochi kwahiyo hana hela ya kurudi nyumbani wala ya kula,jibaba nkajikaza nikalipa msosi na buku tatu ya bajaji nkampa kiungwana,sasa mpaka sasa kagoma kuondoka na kamuita shosti yake amemtambulisha kama shemeji yake..nlipohoji ananiambia kwani hutaki ku enjoy usiku na double impact??.nkasema aisee mi ni wale tulio sota street mpaka leo no steve jobs...anasema kitanda changu ndio payment yangu so nisiwaze..u wili wao ndio furaha zaidi..nsaidieni muda waenda na nimegandwa..nahofu kufia kwenye glass ya bia kama nzi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom